PreGE2025 Kyara wa Chama cha Sauti ya Umma achukua fomu kuwania urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (Sau), Amour Hasi Ali (kushoto) akimkabidhi fomu ya kugombea urais, Majaliwa Kyara (kulia) katika ofisi za chama hicho zilizopo Magomeni Kagera jijini Dar es Salaam. Wakati akichukua fomu hiyo, Majaliwa amesema amepanga kutengeneza Taifa lenye maadili na hofu na Mungu.

Soma, Pia: Hassan Doyo achukua Fomu ya Urais kupitia Chama cha NLD, ataja vipaumbele Kumi

Screenshot 2025-03-27 150659.png
 
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (Sau), Amour Hasi Ali (kushoto) akimkabidhi fomu ya kugombea urais, Majaliwa Kyara (kulia) katika ofisi za chama hicho zilizopo Magomeni Kagera jijini Dar es Salaam. Wakati akichukua fomu hiyo, Majaliwa amesema amepanga kutengeneza Taifa lenye maadili na hofu na Mungu.
View attachment 3284837
Wapinzani uchwara hawa!

Badala wapinzani wote waunganishe nguvu zao pamoja, leo kila mtu amekuwa wa chukua fomu!

Nadhani kuna kijimaslahi binafsi wagombea hupewa ndiko alicholenga!

Lakini kusema sijui wananchi kumpigia kura, labda atapata za kupigiwa na familia yake. 😡
 
Wacha kila mtu apambanie ndoto zake mkuu ...

Kwani wapinzani wana malengo yanayofanana?
 
Wapinzani uchwara hawa!

Badala wapinzani wote waunganishe nguvu zao pamoja, leo kila mtu amekuwa wa chukua fomu!

Nadhani kuna kijimaslahi binafsi wagombea hupewa ndiko alicholenga!

Lakini kusema sijui wananchi kumpigia kura, labda atapata za kupigiwa na familia yake. 😡
Hata familia yake wanajua anaigiza.
 
Back
Top Bottom