double R
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 2,399
- 2,541
Jana mdogo wangu kaleta hii soda. Akawa ananishawishi niionje na akanieleza kwamba sio kama soda za tonic water nyingine. Hii ni tamu.
Nikaona niisome ingredients zake. Nkatekewa kuona kwinini ipo. Na hapo ipo kundi la antioxidants na kiwango chake wameandika ni 8mg/l.
Nimejiuliza maswali kadhaa lakini kila jibu linazaa kwa nini.
Kwa nini kwinini kwenye soda?
Najua humu watakuwepo hata hao wanaohusika na utengenezaji wa soda huko cocacola na wenye uelewa tafadhali mnifungue macho.