Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,808
Tujiandae na mvua za mwezi wa tatu! Kama unakuja kututembelea, njoo fasta kabla hatujahama...
Halafu unakuta anatamba naishi Dar kumbe anaishi kwenye hifadhi ya mafuriko
Mikoani ndiyo wapi mkuu maana hata Dar ni moja ya Mikoa ya TzDU HII NI DARISALAMUU AU MIKOANI?
Watu wanaokaa ktk mikoa iliyopo ktk mwambao wa bahari ya Hindi mara nyingi hujitoa ktk mikoa na kuona wao wako kwenye maeneo ya pwani. Watu wa maeneo ya Tanga, Dsm, Pwani, Lindi na Mtwara wakitaka kwenda let say Arusha, Singida, Mwanza... n.k. wanasema kuwa waenda mikoani.Mikoani ndiyo wapi mkuu maana hata Dar ni moja ya Mikoa ya Tz
Ni washenzi tuWatu wanaokaa ktk mikoa iliyopo ktk mwambao wa bahari ya Hindi mara nyingi hujitoa ktk mikoa na kuona wao wako kwenye maeneo ya pwani. Watu wa maeneo ya Tanga, Dsm, Pwani, Lindi na Mtwara wakitaka kwenda let say Arusha, Singida, Mwanza... n.k. wanasema kuwa waenda mikoani.
Sent using Jamii Forums mobile app