Mshana Jr mi NAHITAJI hayo Bay fruits puliz braza
Ok.natangukiza shukran kaka.Ngoja niangalie nani anakuja huku wiki hii
Mkuu ulikimbia utamu[emoji4][emoji4][emoji4]Niliwahi kufika Mazinde juu na maeneo ya Soni ilibaki kidogo wanilishe 'mbuzi katoliki' nikashtukia .... Lushoto pako poa sana hali ya hewa iko wow!!
Mtamu kuku wa kuchoma tuMkuu ulikimbia utamu[emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtamu kuku wa kuchoma tu