kwetu kuzuri

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
article-2644779-1E5BC64400000578-115_964x641.jpg
 
Nimefika makunduchi watu wanatembea peku bila kuvaa viatu na ni kitu cha kawaida tu hata pale Soko kuu Darajani nimewaona watu wengi wakitembea peku bila hata kuvaa kandambili,kwa zama hizi ni hatari kutovaa viatu au hata kandambili.
 
Back
Top Bottom