Acheni kuwafanya watu wajinga ili kutetea uozo, unapoongelea foleni unatakiwa ku compare idadi bara bara mlizonazo na magari yaliyopo,tanzania magari hayafiki hata mil 1.5 kuna jam hivi,hiyo miji mnayoonesha unakuta kuna magar mil 200 na zaidi, tatizo sio jam bongo tatizo mipango mibovu nchi utadhani haina master plan angalia mfano mji unaokua kama mwanza hakuna promissing future kuwa tatizo la jam kama ya dar itathibitiwa.