Kwenye ustaarabu, jamii ya Waarabu wanaongoza

Kujaa nchi za kiarabu nakubali lakini ninakataa kwa kuwa wafanyakazi wa ndani. Wanaweza kuwa wasafishaji barabara, madereva lakini sio wafanyakazi wa ndani. Kama unataka kubisha twende nchi 3 mpaka 4 za kiarabu tukaulize. Harama yako tickets tu yalobakia mimi nitalipa
 
Mkuu taifa ambalo linashusha wanawake kama sexual objects, kamwe haliwezi kuwa na maendeleo na ustaarabu.

Wazungu wanasema "A strong girl is a strong woman is a strong nation."
Kwa tafsiri yangu ni "Msichana mwenye nguvu ni mwanamke mwenye nguvu na ni taifa lenye nguvu." Kama nimepatia! Sasa kwa mantiki hiyo, waarabu ni taifa la watu dhaifu kwa sababu wanawake wao ni dhaifu, hawana nguvu katika kujenga familia yenye nguvu kutokana wanaume kuwadhoofisha, kuwaletea wake mwenza na kutowaheshimu.
Mwanamke kwa mwarabu ni kama kuku wa kutaga mayai. Kazi yao kukaa nyumbani, kuzaa, basi!
 
Wewe nawe muwongo sana unaongea stori za kusikia tu .kwa taarifa yako wa indonesia wako wengi sana ni wafanyakazi wa ndani nchi za kiarabu.middle east yote saudia Oman qatar wa indonesia wapo wanafanya kazi za nda i
 
Wazungu huwa wapo open na wanaweka mambo ya wazi hata maovu.

Waarabu ni wachafu sana, wana roho mbaya sana na hata ufiraji wanafanya hawa ila wanafanya kwa siri.

Ni watu wa dhambi za siri hawa.
Inaoneka unaongea kwa mihemko .hivi inchi kama USA na UK waliopitisha sheria kabisa ya mashoga kuoana.unawaacha wapi.unaongea mambo ambayo huna uhakika nayo.hebu tupe mfano inchi yoyote ya kiarabu ambao wametuhusu mambo hayo kisheria
 
Suala sio kuruhusu...suala ni kwamba wao ndio waasisi wa huo ushenzi

Kabla ya kumuoa mwanamke wanamharibu nyuma na kumtaka kutunza bikira ya mbele tu wakati nyuma wanamchakaza.

Waarabu watu washenzi sana.

Halafu hili povu lako vipi...wewe ni Mwarabu?
 
Wewe nawe muwongo sana unaongea stori za kusikia tu .kwa taarifa yako wa indonesia wako wengi sana ni wafanyakazi wa ndani nchi za kiarabu.middle east yote saudia Oman qatar wa indonesia wapo wanafanya kazi za nda i
Mkuu achana nae huyo,mimi nimeamua kumpotezea tu coz anaongea vitu vya kusikia tu.
 
Mkuu achana nae huyo,mimi nimeamua kumpotezea tu coz anaongea vitu vya kusikia tu.
Mkuu, mambo yote mengi tunayoongea au kuandika humu yanatokana na kusikia, kusoma au kuona. Siyo lazima uone au kusoma ili jambo lithibitike kuwa kweli. Ata ukisikia habari zenye chanzo cha kuaminika kama taarifa za habari, watu walioona zaidi ya watatu, basi inatosha kuthibitisha ukweli wa taarifa.
 
Mkuu hata wewe umekubali kua utaamini jambo kwa kuthibitishiwa na walioliona,sasa huyo uliyegeuka kua msemaji wake ni mtu aliyesikia na mimi ni mtu niliyeona,hapo utakataaje kwa mfano?
 
Mkuu hata wewe umekubali kua utaamini jambo kwa kuthibitishiwa na walioliona,sasa huyo uliyegeuka kua msemaji wake ni mtu aliyesikia na mimi ni mtu niliyeona,hapo utakataaje kwa mfano?
Mkuu, basi naona tumekubaliana, ingawa ata aliyesikia na aliyeona wanaweza toa taarifa za uwongo!
Nilisoma historia moja ya Jim Crew. Watu weupe kule Marekani walikuwa wanauwa au ku "Lynch" watu weusi sana. Mtu mweupe yeyote akisema nilimwona The icebreaker akimtukana Jim Crew, basi umekwisha. Mtu mweusi enzi hizo ukisingiziwa chochote na watu weupe basi unaishia kwenye kitanzi hata kama waongo. Kwahiyo, kuona na kusikia kunaweza kupindishwa kwa manufaa binafsi.
 
Chifu ama sijakuelewa ama sijaelewa maana ya neno ustaarabu. Nimenukuu hapa toka bandiko lako

“Ustaarabu wa mwarabu kule Uarabuni kwao ni kupiga na kuuwa wafanyakazi wakikosea, wakati wazungu ni kukusimamisha kazi kisheria”

Kupiga na kuua wajakazi kisa tu wamekosea sehemu ya ustaarabu?
 
Inaoneka unaongea kwa mihemko .hivi inchi kama USA na UK waliopitisha sheria kabisa ya mashoga kuoana.unawaacha wapi.unaongea mambo ambayo huna uhakika nayo.hebu tupe mfano inchi yoyote ya kiarabu ambao wametuhusu mambo hayo kisheria
Wanaoongoza kwa kufira duniani ni Waarabu, wanafira wanawake na wanaume sasa shoga hapa ni nani?
 
Mkuu kinyume cha ustaarabu ni unyama, ukatili na udhalimu. Sasa vitendo vya waarabu kuwauwa na kupiga wajakazi wao ni ukatili na udhalimu ambao ni ukosefu wa ustaarabu.
 
Mkuu kinyume cha ustaarabu ni unyama, ukatili na udhalimu. Sasa vitendo vya waarabu kuwauwa na kupiga wajakazi wao ni ukatili na udhalimu ambao ni ukosefu wa ustaarabu.
Oooh hapo sawa nimeelewa sasa
 
kwa ustarabu ulio nena naweza kubali ila ili ustarabu ukamilike basi roho yako iwe safi kwa kusto bagua mtu kupitia nasabah na mazingira na mpaka kisheria-warabu sheria zao kwa mswahili azifanyi kazi,kosa la mwarabu ila mswahili ndo ataswekwa ndani,hili la wafanya kazi wa ndani hili silizungumzie kwani hata sie waswahili tuna wanyanyasa ila nazungumzia ubaguzi wa kisheria na kinasabha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…