Tatizo hilo linatokana na serikali yetu haina misingi ya ajira kwa wananchi wake. Huwezi kumuona mu Indonesia anafanya kazi za ndani nchi za kiarabu. Halafu hata sisi wenyewe tunawafanyia ukatili hawa wadada wa kazi na kuwabaka kama watumwa wa ngono.Muache ubaguzi na kunyanyasa wafanyakazi wa ndani
Umesahau hii, Wanajali sana wafanya kazi wa ndani, haswa wa kutoka kwenye ukanda wetu.1.mavazi.
2.ulaji wa chakula.
3.salamu
4.heshima ya mke kwa Mme ...mwanamke hatakiwi kufanya kazi mwanaume kazi yake kupeleka huduma..hapa nimependa...mwanamke akiwa na kibarua ni mtihani sana kwenye malezi ya watoto..ukizingatia mahouse girl wanavyosumbua na heshima ndani hakuna...
Ongeza mengine tuwape heshima yao
Umenena vyema sana mkuuTujadili yetu ya waarabu na wazungu hayatuhusu. Wakati wa kujitambua ni sasa tusijidharaulishe.
Upo sahihi Mkuu,Makafiri kama nyie ndo mnasababisha ugomvi.
Kwa maneno kama haya kwanini ugomvi usitokee?
Are you sure? hapana bana, hebu soma wafanyakazi za ndani Hong Kong wanatoka wapiTatizo hilo linatokana na serikali yetu haina misingi ya ajira kwa wananchi wake. Huwezi kumuona mu Indonesia anafanya kazi za ndani nchi za kiarabu. Halafu hata sisi wenyewe tunawafanyia ukatili hawa wadada wa kazi na kuwabaka kama watumwa wa ngono.
Wewe ni shidaa kauli zako!Natabir ugomvi mkubwa sana ndan ya huu uz
Ngoja nikae pemben maana kuna watu wamechafukwa kinoma kuwasifia hao wazee wa kujitoa mhanga na kwenda kusali wakiwa hawajavaa chupi