Kwenye Sekta ya Afya tumpe Rais Samia maua yake

Hamduni

Senior Member
Joined
Apr 25, 2020
Posts
174
Reaction score
124
KWENYE SEKTA YA AFYA TUMPE RAIS SAMIA MAUA YAKE

Na. Amon Nguma .

Ni kweli pasipo shaka kuwa afya ni muhimu kwa usalama na maendeleo ya Taifa lolote lile, kazi kubwa inayofanywa na Serikali chini ya Mhe.Rais.Dkt. Samia Suluhu Hassan ni udhihirisho kuwa Serikali inajali Wananchi wake na inatambua umuhimu wa sekta ya Afya katika maendeleo ya Taifa ,kwamba ili Taifa liwe lina maendeleo linahitaji watu wenye afya bora na hivyo haina budi kuboresha miundombinu na huduma za Afya kwa watu wake .

Sekta ya Afya imekuwa moja ya kipaumbele cha uongozi wa Mhe.Rais.Dkt.Samia Suluhu Hassan , tumeshuhudia kazi kubwa yenye mafanikio katika sekta ya afya kuliko kipindi kingine chochote ,kazi iliyohusisha mambo mengi makubwa na kwa uchache kama ifuatavyo -.

(1).Ujenzi wa wodi za ICU pamoja na Kuongeza Vitanda vya ICU (vitanda vya wagonjwa mahututi) kutoka vitanda 258 vilivyokuwepo awali mpaka vitanda 1000 ,sasa huduma ya ICU kila Mkoa.

(2). Ukamilishaji wa Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini ,Hospitali za Rufaa katika Mikoa ya Katavi ,Geita, Mara, Songwe na Shinyanga ambazo zimesimikwa mitambo ya kisasa pamoja na wataalamu.

(3). Uzinduzi wa Mitambo ya kisasa ikiwemo X -Rays ,CT Scans ,MRI ,mashine za Uchunguzi wa Moyo na Fluoroscopy katika hospitali za wilaya ,mikoa ,rufaa kanda na Taifa sanjari na matumizi ya TEHAMA katika utoaji huduma.

(4).Ununuzi wa Mitambo 19 ya kuzalisha Hewa Tiba (Oksjeni) ambayo imesimikwa katika Hospitali mbalimbali za Mikoa , Kanda na Taifa.

(5). Ajira kwa wataalamu wa kada ya Afya zaidi ya 20000 sanjari na uendelezaji wa wataalamu kupitia ufadhili wa kimasomo ndani na nje ya nchi .

(6). Serikali imeanzisha Kliniki kwa ajili ya Wagonjwa wa Selimundu (Sikoseli) katika Hospitali zote za Rufaa za Mikoa na Wilaya nchini .

(7). Serikali chini ya Mhe.Rais.Dkt.Samia Suluhu imetoa Tsh.Bilion 5 kwa ajili huduma za Ubingwa Bobezi ikiwemo huduma ya upandikizwaji Uroto ambapo kwa mwaka huu Serikali kupandikiza Uroto bila malipo kwa watoto 20 wenye ugonjwa wa Sikoseli.

(8).Katika kuhakikisha upatikanaji wa Damu safi na salama Serikali imejenga na kuzindua Kituo cha Mpango wa Taifa wa Damu Salama jijini Dodoma(Central Zone Blood Transfusion Center)ambapo itakuwa sehemu salama ya kupima ,kuhifadhi na kutengeneza mazao ya Damu .

(9).Uzinduzi wa Mitambo Cathlab na Carto3 kwenye Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) hatua ambayo imeiongezea uwezo taaasisi hii muhimu nchini na kwa nchi zinazotuzunguka.

(10). Ununuzi wa Magari ya Wagonjwa (Ambulance)ambapo mpaka mwezi februari 2023 Serikali chini ya Mhe.Rais Samia imetoa fedha kwa ajili ya ununuzi wa magari 727 ya wagonjwa ambayo yatasambazwa kote nchini .

(11). Kazi kubwa iliyofanyika katika ujenzi wa hospitali za wilaya, vituo vya afya ,zahanati ,motuary ,maabara pamoja na nyumba za watumishi ili kusogeza huduma karibu na wananchi .

Kutokana na kazi hii kubwa iliyofanyika chini ya uongozi wa Mhe.Rais.Dkt.Samia Suluhu Hassan sasa huduma za afya nchini zimeimarika kwa kiwango kikubwa lakini pia Tanzania imekuwa mfano na kimbilio kwa majirani zetu kuja kujifunza na kupata huduma.

Pongezi nyingi kwa Mhe.Rais kwa kuifanya Sekta ya Afya kuwa moja ya kipaumbele chake kwa vitendo ,pongezi pia kwa Wizara ya Afya kwa uratibu na utekelezaji.

Tumetoka mbali ,tulipo ni pazuri ,tunapokwenda matumaini ni makubwa zaidi chini ya Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

KAZI IENDELEE .
​
IMG-20230720-WA0030.jpg
 
Akiludisha hospitali ya Mloganzila MUHAS itakuwa amefanya jambo jema Sana kwa nchi.Hapo atakuwa ameweza afya Tanzania.
 
View attachment 2694064
Kwenye sekta zote anabeba Maua,hakuna Rais aliyewahi leta maendelea Kwa mda mfupi kama Samia..

Baada ya Nyerere huyu ndio Rais Sasa
 
Ajira 20000,,ng'ombe
 
Back
Top Bottom