T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,110
- 30,540
Hata mwaliko hamuna mkuu?Sikukuu iko vizuri tunamshukuru Mungu
Sana tu... Changu, sangara, king, tasi, tuna etc etcOhoooo oky...lakini wengine si sawa mkuu
Nishataja kule juu... Ushawahi kunywa supu ya macho ya tuna?Hapo sawa kabisa....ni sehemu gani sasa unapenda sana kuila kwenye hao samaki mkuu
Mimi naenda kula nimepata mwaliko muda si mrefuNinamarafiki wengu waislam lkni wamenichinjia baharini..nipo tu sijielewi elewi mkuu
[emoji28][emoji28][emoji28]tusameheane tu
[emoji1666]Ohooo kumbee..sawa!
Nafikiri nilishawahi kunywa ila sikumbuki.
KaribuWow!!hongera mkuu..plz take care of yoself man[emoji1635]
Hahaha.....kumbe unayajua.Matobolwa mkuu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]asante
Ooh!!kumbeNilikutana nayo tabora kipindi hicho
MkiaKwa upande wangu napenda kula kichwa aiseπββοΈπββοΈπββοΈ Ninaweza nisile ugali alooπ€ͺπ€ͺ..ninakisosomola ni kinoumaπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€Έπππππ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈ
Sasa wale watu wa kuenda extra maili sasaπ π namaanisha samaki wa baharini kama yule aliemβmeza Yonaπ π ππ ππ ππ π
Akili za kuumwa na njaa hiziπ π π π
Maisha ukichukulia siriazi sana utakata motoπ€£π€£
Imeisha hiyoooo...π€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ₯π₯