Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,548
- 104,443
Waviziaji wengi ni wanawake.Halina ubishi.Wanafanya ndoa ni mradi wa kujinufaisha tu.Lile dhumuni halisi la upendo, kuaminiana na kuwa na dhati ya mpaka kuzikana ni wachache sana wenye hiyo mutual intention, ni either mmoja awe anamvizia mwenzie au wote kwa pamoja.
Akili na uwezo wote anapeleka kwenye kulinda mali zake such as kuandika majina yake kwenye vitu vyake kuogopa huko baadaye huyu anaweza nigeuka.
Kufanya project za siri, kutokumshirikisha mwenzako kiwango cha pesa zako, yaani ilimradi kuviziana tu.
Lile lengo la kuwa pamoja hata halipo kabisa.
Wewe ukiwa kwenye side ya kuviziwa unaweza umizwa sana tena ukararuliwa kila mahali, maana watu wengi wenye mioyo safi ni wachache kiasi kwamba anaye kuvizia muda mwingine sio lengo lake lakini ashakutana/ashashuhudia mbwa mwitu wengi wenye ngozi ya kondoo.
Kama upo kwenye ndoa/upo na mwenza na moyo wako upo safi kabisa lakini unahisi uliyenae maybe anakuvizia ujae kwenye mfumo....endelea kuwa mwema tu, ipo siku atauona wema wako na ataacha hizo habari za kuishi na wewe kimachale machale na kutenda dhumuni la ndoa.
Ila watu wanatakiwa wajue haya mambo yanaumiza sana kuingia kwenye ndoa na wasiwasi wa namna hiyo. Hilo sio lengo la ndoa.
Wakati fulani tulishasuluhisha jambo fulani lakini katika huo ugomvi wa wanandoa.
Mke alitoa 50% ya hela ya kiwanja na mume nae alitoa.
Ila mke akawa anataka kuandika jina lake na mwanaume nae anataka jina lake liandikwe. It was real sad kwa sababu wote walikua wanaviziana. WALIKUJA KUACHANA.
Dunia ni uwanja wa mateso kila mmoja atachagua wapi atesekeeLile dhumuni halisi la upendo, kuaminiana na kuwa na dhati ya mpaka kuzikana ni wachache sana wenye hiyo mutual intention, ni either mmoja awe anamvizia mwenzie au wote kwa pamoja.
Akili na uwezo wote anapeleka kwenye kulinda mali zake such as kuandika majina yake kwenye vitu vyake kuogopa huko baadaye huyu anaweza nigeuka.
Kufanya project za siri, kutokumshirikisha mwenzako kiwango cha pesa zako, yaani ilimradi kuviziana tu.
Lile lengo la kuwa pamoja hata halipo kabisa.
Wewe ukiwa kwenye side ya kuviziwa unaweza umizwa sana tena ukararuliwa kila mahali, maana watu wengi wenye mioyo safi ni wachache kiasi kwamba anaye kuvizia muda mwingine sio lengo lake lakini ashakutana/ashashuhudia mbwa mwitu wengi wenye ngozi ya kondoo.
Kama upo kwenye ndoa/upo na mwenza na moyo wako upo safi kabisa lakini unahisi uliyenae maybe anakuvizia ujae kwenye mfumo....endelea kuwa mwema tu, ipo siku atauona wema wako na ataacha hizo habari za kuishi na wewe kimachale machale na kutenda dhumuni la ndoa.
Ila watu wanatakiwa wajue haya mambo yanaumiza sana kuingia kwenye ndoa na wasiwasi wa namna hiyo. Hilo sio lengo la ndoa.
Wakati fulani tulishasuluhisha jambo fulani lakini katika huo ugomvi wa wanandoa.
Mke alitoa 50% ya hela ya kiwanja na mume nae alitoa.
Ila mke akawa anataka kuandika jina lake na mwanaume nae anataka jina lake liandikwe. It was real sad kwa sababu wote walikua wanaviziana. WALIKUJA KUACHANA.
As days go by naona hawa kataa mdoa kama vile watashinda.
Anyways mbususu zenyewe zimepanda bei wacha nipige nyeto tuu
Mkuu mbna bei ni Ile Ile 3k-5k.As days go by naona hawa kataa mdoa kama vile watashinda.
Anyways mbususu zenyewe zimepanda bei wacha nipige nyeto tuu
wapi huko jamani na mie mnipeleke maana naona napigwa hela nyingi sana. buku 30 kwa mbususu ni hela kubwa sanaMkuu mbna bei ni Ile Ile 3k-5k.
😀😀😀😀Dunia ni uwanja wa mateso kila mmoja atachagua wapi atesekee
Mmh mzee uku tabora- kaliua mbususu 6 kwa hiyo hela.wapi huko jamani na mie mnipeleke maana naona napigwa hela nyingi sana. buku 30 kwa mbususu ni hela kubwa sana
Amina ni kubeti hapo.Mwenyezi Mungu atusimamie kwenye hili....
Mwenyezi Mungu awaongoze katika utafutaji wa wenza sahihi...
acha masikhara mzeya, kumbe huko kwenye mizinga ya nyuki mnapata asali double double🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂Mmh mzee uku tabora- kaliua mbususu 6 kwa hiyo hela.
Swadakta!Mume alioa mpumbavu na pia mume hakuwa akijitambua,huu ujinga wa 50/50 unabomoa sana ndoa za vijana wa siku hizi
Mwanaume ndiye unaeoa ukitegemea unaemuoa atazaa watoto sasa kwanini uanze kutegeana na mkeo namna ya kuiletea mafanikio familia yako?mwanaume unatakiwa kila kitu ukifanye wewe kiwanja nyumba ada za watoto etc vyote ni juu yako.
Wewe si nilikuona sehemu unabargain 3some kwa 800k ama umefilisika ghafla?wapi huko jamani na mie mnipeleke maana naona napigwa hela nyingi sana. buku 30 kwa mbususu ni hela kubwa sana
Haya mambo yapo kwa wanawake zaidi.Lile dhumuni halisi la upendo, kuaminiana na kuwa na dhati ya mpaka kuzikana ni wachache sana wenye hiyo mutual intention, ni either mmoja awe anamvizia mwenzie au wote kwa pamoja.
Akili na uwezo wote anapeleka kwenye kulinda mali zake such as kuandika majina yake kwenye vitu vyake kuogopa huko baadaye huyu anaweza nigeuka.
Kufanya project za siri, kutokumshirikisha mwenzako kiwango cha pesa zako, yaani ilimradi kuviziana tu.
Lile lengo la kuwa pamoja hata halipo kabisa.
Wewe ukiwa kwenye side ya kuviziwa unaweza umizwa sana tena ukararuliwa kila mahali, maana watu wengi wenye mioyo safi ni wachache kiasi kwamba anaye kuvizia muda mwingine sio lengo lake lakini ashakutana/ashashuhudia mbwa mwitu wengi wenye ngozi ya kondoo.
Kama upo kwenye ndoa/upo na mwenza na moyo wako upo safi kabisa lakini unahisi uliyenae maybe anakuvizia ujae kwenye mfumo....endelea kuwa mwema tu, ipo siku atauona wema wako na ataacha hizo habari za kuishi na wewe kimachale machale na kutenda dhumuni la ndoa.
Ila watu wanatakiwa wajue haya mambo yanaumiza sana kuingia kwenye ndoa na wasiwasi wa namna hiyo. Hilo sio lengo la ndoa.
Wakati fulani tulishasuluhisha jambo fulani lakini katika huo ugomvi wa wanandoa.
Mke alitoa 50% ya hela ya kiwanja na mume nae alitoa.
Ila mke akawa anataka kuandika jina lake na mwanaume nae anataka jina lake liandikwe. It was real sad kwa sababu wote walikua wanaviziana. WALIKUJA KUACHANA.
uzinzi unafilisi na maisha ya kupanda na kushuka. sasanipo down. natafuta bodaboda ya mkataba.Wewe si nilikuona sehemu unabargain 3some kwa 800k ama umefilisika ghafla?
Ni kweli mkuu na sheria zina loopholes nyingi sana za kuwawezesha wanawake kufanya upigaji kwa jina la ndoa ndio maana na wanaume sasa wameamua kukaa kitalaam.Waviziaji wengi ni wanawake.Halina ubishi.Wanafanya ndoa ni mradi wa kujinufaisha tu.
Ila mke akawa anataka kuandika jina lake na mwanaume nae anataka jina lake liandikwe. It was real sad kwa sababu wote walikua wanaviziana. WALIKUJA KUACHANA.
🤣🤣🤣🤣 na bado.uzinzi unafilisi na maisha ya kupanda na kushuka. sasanipo down. natafuta bodaboda ya mkataba.
mhm nyie wanawake wote humu mnanitakia mabaya nilishawajua kasoro besty yangu Mideko tuu ndio ananiombeaga mema.🤣🤣🤣🤣 na bado.