Kwenye mkutano wa leo na TFF

Yes uto wameafikiana kwenye mambo ya msingi atakua anasimama bumbuli then kwenye mambo ya kudanganya mashabiki oya oya wa utopolo atakua anasimama msukule

2936430_FB_IMG_1631703587751.jpg
 
Out of topic


Hivi kwa nini hawauzi ticket za VIP A? nini kimetokea, wanasema kuna watu maalum wataalikwa, why? Sisi tunaotaka VIP A na hatujaalikwa inakuwaje
Inabidi uwaulize pia kwa nini una gari yako na umelia kodi zote lakini unasimamishwa saa nzima barabarani kusubili mtu mmoja apite kwanza?

Nakukumbusha tu hata malaika mbinguni hawako sawa, na hata wacha Mungu mbinguni hawatakuwa na daraja sawa.

Usitafute usawa dunia unajiumiza nafsi yako bure.
 
Back
Top Bottom