Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,676
- 272,519
Angalia halafu Toa Maoni yako
Haihitaj hata d moja kuuelewa
Angalia nguo walizovaa na cheni waliojifunga bibie akianguka na wao ndio kwaheri.Wasio julikana wanataka kumuanhusha bi mdashi
Wanamchinjia baharini huku wakicheka naye
Mkuu una akiliWawili wamekutana juu ya mti alafu kila mtu yuko na timing zake, ila hatari kwamba mmoja ana msumeno alafu anataka akate tawi wanalolitegemea wote wawili
Ila huyu jamaa @Masudkipanya ana kipaji flan cha utabiri kwamba anajuaga yajayo kwa nfasi yake ama tuseme anafikiriaga mile nyingi mbele kuliko sisi hadhira yake. Inshort jamaa ana kau genious flan. Maana kuna muda anatoaga kaz zake na wenye akili kubwa ndo wanawezaga kuelezea wengine kuwa jamaa atakuwa kamaanisha jambo flan na mengi anayoandikaga kwenye kazi zake yanakujaga kutokea.
Weeeee!!Undercover people will fall together with bi kimjob
Inaweza kuwa na tafsiri nyingi tu. Mfano, inaweza kuwa Chadema inayoamini inapendwa sana chini ya Lissu ikajichinja kama NCCR MAGEUZI chini ya Augustino Mrema kule Hotel ya Raskazoni Tanga!
Kweli bhana!Inaweza kuwa na tafsiri nyingi tu. Mfano, inaweza kuwa Chadema inayoamini inapendwa sana chini ya Lissu ikajichinja kama NCCR MAGEUZI chini ya Augustino Mrema kule Hotel ya Raskazoni Tanga!
Picha inajieleza! Kuna mwanamke amegeukia upande mwingine huku akiwa na ushungi wenye rangi kama nyekundu hivi na gauni lake refu tu! Amesimama kwenye gogo ambalo linakatwa na mtu asiyejulikana (ameficha uso wake), halafu kukiwa na mnyororo ulio waunganisha hao watu wawili.
Wanakwenda wote, hakuna namna hapo.Toa Maoni yako
😆😆😆😆Wanakwenda wote, hakuna namna hapo.