Kwenye maisha, Usikabie juu bali kabia chini

Kwenye maisha, Usikabie juu bali kabia chini

The ghost writer

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2023
Posts
845
Reaction score
1,748
Unapokabia juu namaanisha unapoweka mkazo wa malengo yako, ndoto na future zako. Halafu huku chini namaanisha mitaji, miradi na hustle zako unazozitegemea kukufikisha huko juu zikiwa hazina ulinzi. UTAFELI

Msingi wa jambo lolote kutimia unaanzia chini

Utakapoanza kukabia chini (mkazo wa miradi na hustle ) unajitengenezea safu imara ya ulinzi na kumnyima mpinzani wako (life;ile dhana ya maisha magumu yamenishinda) ushindi

Ijapokuwa ubao utasoma 0-0 ila safu yako imara ya ulinzi italeta matumain kwenye safu yako ya ushambuliaji (i means goals and plans)

Ikiwa utakabia juu badala ya chini, safu yako ya ulinzi utaicha duni na kisha kupigwa COUNTER ATTACK ukiachwa huku umechanganyikiwa..

ni sawa na nyumba (kiota cha ndege) iliyojengwa juu ya mti bila yakuwa na msingi chini halafu ikaja mvua na upepo mkali wa ghafla, kile Kiota kitadondoka chini bila pingamizi

Life is a game play it like you play the jackport makes sure you win it. NEVER BACK DOWN
 
Ukiweka mkazo kwenye mitaji, miradi na hustle zako.... Malengo na ndoto zinatimia zenyewe bila shida. ANZA KUKABIA CHINI
 
Back
Top Bottom