Ni yule kiwi?Leo tulikuwa tunaangalia maazimisho ya miaka 55 ya uhuru wa TZ kupitia ITV. Ambapo kuna mtu mtangazaji alikuwa akimtaja kama balotelli kweli alifurahisha watu alivyokuwa akigeuka na kufanya manjonjo.. Leo nimejifunza 'ukifanya unachokipenda hakuna kazi unayofanya' ila unakuwa una enjoy na salary ina flow. leo Balotelli alikuwa ana enjoy sana na sisi tume enjoy sn.
Nimelifurahi sana kwa ubunifu na accuracy ya hali ya juu ya wale jamaa. They were great