Kwenye kumfikisha mwanamke kileleni, wanaume wengi tunafeli

Hahaha hahahaha eti mnatupa shida tunapokuja kuwaoa.....duhhhh!!!!!!!!!
 

Attachments

  • VID-20170318-WA0002.mp4
    11.5 MB · Views: 35
It's all about game of MIND....asipoandaliwa kimwili na kiakili ...huwezi kumfikisha kileleni hata utumie ndumba....so ni kitendo cha kumwandaa mentality and phyisical...otherwise ,no ORGASIM...
Kumbe Bado haujajua kwamba mwanaume una asilimia kubwa za kuivuta concentration ya mwanamke na kumuweka atention...
 
Kufika kileleni kukoa ndani ya akili ya mwanamke mwenyewe. Asipojiandaa kiakili na kisaikolojia hatoweza kufika.
Mwanaume anaouwezo wa kumfanya mwanamke asisimke na kuzama kwenye dimbwi la mahaba hata kama alikuwa hajadhamiria.
Huo uwezo upo ndani mwetu sema ni wachache tu ndo huwa tunautumia
 
Ana matatizo ya kisaiklojia binti au mwanamke wa jinsi hiyo apate ushauri kwanza
Vyote vinahusika mkuu, na pia vinategemeana
Sasa basi kikubwa ni kuzingatia mwenza wako ana tatizo gani? Au wewe ndio tatizo?
Ukishayajua hayo basi inakuwa simple
 
Kumbe Bado haujajua kwamba mwanaume una asilimia kubwa za kuivuta concentration ya mwanamke na kumuweka atention...
Hiv vitu ni complicated mkuu ...sio kila demu uliyepiga ulimfikisha CLIMAX...kitu maandalizi,na men wengi wanafeli kwenye preparation,,,na kuzijua twelve parts za mwanamke za kumfikisha kirahisi CLIMAX
 
Wazee wa kuzama Chumvini nadhani hili jambo kwao ni rahisi sana.
Kupandisha mzigo kwenye kilele cha mafanikio cha Kibo na Mawenzi inahitaji kutumia akili nyingi kuliko nguvu nyingi, ndio maana wataalamu waligundua kitu cha kurahisisha kazi(Mashine) ambacho utatumia akili kuliko nguvu nyingi ili kukifanya kifanye kazi.

Kazi kwenu mnaopandisha minara kwenye vilele vya Kibo na Mawenzi
 
Hapo umenichanganyia madesa mkuu.............Hao wote ni labourers wanaingia kwenye factors of production..kumbuka wao sio bidhaa ila wanatoa huduma..........
kwa hiyo malighafi na bidhaa ni zipi mkuu, maana hiki kiwanda kina mfumo wa kipekee kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…