unajua ni kwa nini?
Utasababisha wanaume wa Dar tutukanwe sasa hivi! :boxing:
Utasababisha wanaume wa Dar tutukanwe sasa hivi! :boxing:
Wazee wa mahindi ya kuchoma na limao na pilipiliiHahaaaahaaaaaaa... Wazee wa utumbo wa kuku?
Wazee wa mahindi ya kuchoma na limao na pilipilii
Hata mi nimelitamani hilo embe shost!!Duh mate yananitoka napenda maembe hayo
muhomakilo jr hebu nieleze. Amavubi ni mamito???