Kias gani mkuuiKuna jamaa yetu mmoja anayo used anaiuza lakin bei imenichosha.
Mwaka umeisha hajauza.
Nlikuwa naichukulia poa kumbe ni Laana hii gari.
Kias gani mkuuiKuna jamaa yetu mmoja anayo used anaiuza lakin bei imenichosha.
Mwaka umeisha hajauza.
Nlikuwa naichukulia poa kumbe ni Laana hii gari.
Ye anaiuza 12 milKias gani mkuui
Acha kabisa na zinachomoka kweli kweli
Uzuri wake wanaujua wakuria wa tarime na sirari huwaambii kitu kwenye probox
Bei ya showroom, lakini ni gari haswaYe anaiuza 12 mil
Gari lakini kwa ile bei atasubiri sana.Bei ya showroom, lakini ni gari haswa
Labda utunzaji uwe mbovu sana... hyo ki2 n mashine ndugu! Chukua gar yyte dogo alafu na probox zweke njia ya rough road ndani ya mwaka mmoja uone ipi itachoka haraka. Yan hyo kwenye njia za lami kimjn mjini had mjukuu anarithiIla huwa zinawahi kuchoka mapema unaweza kukuta namba D haitamaniki
Probox?Ila huwa zinawahi kuchoka mapema unaweza kukuta namba D haitamaniki
😀😀 Usisahau na kuweka mizigo juuMbele abiria 2
Kati abiria 4 hadi 5
Nyuma abiria 6
Haoana, ninhadi kitukuu.Labda utunzaji uwe mbovu sana... hyo ki2 n mashine ndugu! Chukua gar yyte dogo alafu na probox zweke njia ya rough road ndani ya mwaka mmoja uone ipi itachoka haraka. Yan hyo kwenye njia za lami kimjn mjini had mjukuu anarithi
Eee unaweza usitamani kununua iliyotumikaProbox?
Mkuu hapo kwa kigoma hapo mbele wanakaa abiria 3 na dereva jumla wanneMbele abiria 2
Kati abiria 4 hadi 5
Nyuma abiria 6
Mkuu inamaana engine iliyowekwa kwenye probox ni sawa na iliyopo kwenye IST??Engine 1NZ na 2NZ ziko very economy, spacious na inahimili mikiki
Gharama inaendaje!?Nunua pro box succeed tx g package hutojuta mkuu
Kama ni mrefu sana kata kibini ongezea bodi juu kidogo ili kichwa kitoshe au kubana bajeti unaweza toboa tundu kichwa kitoke inje halafu unavalia na helmenti wakati unaporndesha!