Hv haya mambo ya kulalamikiwa Sijui yataisha lini
Alafu sio wote wenye tabia hiyo kila mtu na style yake ya kuishi mwingine ni lazima tu achepuke hata kama anapewa nn
Ila mwengine anaweza kuchepuka kutokana na tabia za mwenzake
All in all Mwanamke akili kichwani mwako kuchepuka kutaka tu(ameamua)
TUSIHUKUMU WATU WOTE KWA KOSA LA WATU WACHACHE