Kwenu wanawake wenzangu

Hii mambo ya vidume kujifanya wanawake halafu mkashindwa kuuvaa uhusika kwa angalau 90%.
Inakuwa aibu men,
 
Hatua za mwanzo mara nyingi kila mtu anaweka ukuta ambao saa zingine inafanya kila mmoja kuficha uhalisia wake. Ukitolewa out; ni muhimu kuwa relaxed kidogo, kama unakunywa non alcoholic drinks utakuwa katika kudefend zaidi self ego, hivyo ushauri wangu, badili kinywaji unywe hata wine inasaidia sana.
 
Kuchunguzana mzee usipokuwa makini unaweza lambwa na nusu ya mkoa!
Kwani mara zote huwa mnatongozwa na strangers. Mbona mimi naonaga wanaume wanaowatongoza ni wale wale ambao wapo kwenye circle yenu. Mtaani, darasani n.k. Sasa mtu kama huyu si tayari unakua na informations zake kabla hata hajakufata.
 
Ukiwa unazunguka unakutana na watu wapya,wengine tuna kaukakasi huwezi kuzungukia classmates na wana wa mtaa, sio tabia zetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…