Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,598
- 44,423
Acha kuzisingizia roho za umauti wewe uliziona paleRoho za kiuaji zilimwingia. Inshort tuombe Mungu neema zake sisi wanawake
UwiiiMwanamke mwingine huko mwanza amemnyonga hadi kufa mtoto wake wa kumzaa wa miaka 9. Kisa mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Basi tu yaani mtu asipomuongelea mwanamke haoni raha. Angeishia kuekezea tatizo na kukemeaHuwa wanasubiri mwanamke akosee wapate pa kuanzia.
Mauaji ya kinyama na ya kutisha hapa duniani % kubwa yamefanywa na wanaume.
Anionyeshe hata mwanamke mmoja ambae badala ya kulaani kile kitendo alimsifia yule mwanamke then tuanzie hapo.
Mpaka kufikia hatua hiyo mwanaume kumchoma mwanamke na gunia za mkaa,sababu kubwa ni unyama huo huo wa mwanamke,usariti. Lakini fikiria yule anamuua sababu ya elfu 50. Unamuacha mwanamke mwenzio ukimfungia ndani afe kwa njaa,baada ya kumpiga sana. Wanawake ni zaidi ya unyama uliofanyika rwanda 1994. Wa mwanza kamuua mtoto wake wa kumzaa,masikini asie na hatia hata moja yule mtoto wa miaka 9. Unyama wa aina gani huo?Roho mbaya Haina jinsia...hao wanaume Wanao ua wake zao na kuwachoma na gunia la mkaa unawwzungumziaje...ROHO MBAYA HAINA KWAO
Sent using Jamii Forums mobile app
Jesus!!!!Mwanamke mwingine huko mwanza amemnyonga hadi kufa mtoto wake wa kumzaa wa miaka 9. Kisa mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hekima na busara zako zizidi sana kwako.Ahsante sana kwa kutujumuisha wanawake wote kwenye hili, alitenda ukatili ndiyo! Hilo ni kweli na hakika!!
Kemea uovu na ukatili lakini wewe hii ni chuki kabisa dhidi ya wanawake wote sema ulikosa platform ya kutoa machungu yako!!
Ila ni sawa leo utalala salama dukuduku umelitoa.
Kwa niaba ya wanawake wakatili naomba radhi, mtusamehe na Mungu uturehemu tumekutenda dhambi, tunaingamiza dunia, tumemwaga damu isiyo hatia 😭😭
Ww inaonekana ni ibilisi kabisaWanawake wengi wapo kimya??? Una uhakika au unabwabwaja tu ndugu. Muwe mnaongea kitu cha uhakika..mitandaoni wengi waliolizungumzia na kulikemea ni wanawake.
Hebu nionyeshe mwanaume aliyelizungumzia hili tukio kwa kukemea nimjue.
.
.
Acheni chuki za kijinga against wanawake. Binadamu yoyote yule anaweza kuwa na roho mbaya. Ina maana hakuna matukia ya kutisha yaliyotendwa na wanaume. Nyie mnajiona malaika sana..kwa lipi?
PUMBAVU ZENU WOTE WENYE MTAZAMO KAMA WAKO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mie hunikera sana utazani wao wamejizaa wenyeweNi Basi tu yaani mtu asipomuongelea mwanamke haoni raha. Angeishia kuekezea tatizo na kukemea
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja..na . ahsante.Wanawake wengi wapo kimya??? Una uhakika au unabwabwaja tu ndugu. Muwe mnaongea kitu cha uhakika..mitandaoni wengi waliolizungumzia na kulikemea ni wanawake.
Hebu nionyeshe mwanaume aliyelizungumzia hili tukio kwa kukemea nimjue.
.
.
Acheni chuki za kijinga against wanawake. Binadamu yoyote yule anaweza kuwa na roho mbaya. Ina maana hakuna matukia ya kutisha yaliyotendwa na wanaume. Nyie mnajiona malaika sana..kwa lipi?
PUMBAVU ZENU WOTE WENYE MTAZAMO KAMA WAKO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli atalala salama.Ahsante sana kwa kutujumuisha wanawake wote kwenye hili, alitenda ukatili ndiyo! Hilo ni kweli na hakika!!
Kemea uovu na ukatili lakini wewe hii ni chuki kabisa dhidi ya wanawake wote sema ulikosa platform ya kutoa machungu yako!!
Ila ni sawa leo utalala salama dukuduku umelitoa.
Kwa niaba ya wanawake wakatili naomba radhi, mtusamehe na Mungu uturehemu tumekutenda dhambi, tunaingamiza dunia, tumemwaga damu isiyo hatia
Hivi yule aloua watoto wake kwa kuwakata mapanga kisha kumuua na mkewe alikuwa mwanamke?Mwanamke mwingine huko mwanza amemnyonga hadi kufa mtoto wake wa kumzaa wa miaka 9. Kisa mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app