habari za weekend wana Jf, hope mko salama wote
Nimekaa hapa sina cha kufanya hela sina nikaanza kuwaza๐๐ kwenu wanaume naomba mniambie leo
hivi kuna mwanaume ashawahi kosa hela ya lodge?
yaani mwanaume anaweza kusema hana hela hata mia lakini hela ya kwenda lodge na manzi au mwanamke akapata au akawa nayoโฆ.
huwa mnaziwekaga pembeni au ndo kichwa cha chini kinawazaga fasta pa kupata hela panapatikanaโฆ.
hebu mje mniambie ๐