Falih Tz
Member
- May 13, 2019
- 5
- 1
Mambo vp brothers & sisters...!!
Ni mimi hapa mdogo wenu Falih kutoka pande za mbagala, leo nipo humu ndani kuomba ushauri wenu wadau wa ELIMU juu ya wazo langu katika safari hii ya elimu yenye vikwazo kadha wa kadha..!
All in all ni kwamba me ni mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne {FORM IV} mwaka 2017 na kufaulu kwa wastani wa division TWO na pia kupata nafasi ya kuchaguliwa kujiunga na kidato cha 5 kwa mwaka wa masomo 2018/2019 kwa mchepuo wa SCIENCE i.e PCB ila kwa bahati mbaya kutokana na hali ngumu ya kimaisha nikashindwa kuendelea na masomo kwani sina wazazi wote wawili na istoshe nakosa SUPPORT kutoka kwa ndugu wanaonizunguka hali ambayo bado hainifanyi nikate tamaa katika safari yangu ya kimasomo..!
Hivyo basi baada ya kukaa nyumbani kwa mda wa mwaka mzima nikiwa najishughulisha kazi ndogo ndogo za kuniingizia kipato ambacho nilikuwa najichangachanga ili siku moja niweze kujiendeleza kimasomo kwa ngazi ya ADVANCE na kwa bahati nzuri nikasikia kwamba kuna uwezekano wa kusoma A-LEVEL kwa mda wa mwaka mmoja na nilivyojaribu kufuatilia nikagundua kwamba ADA yake ni nafuu kwa kiasi flani naweza kuafford ila.......
SHIDA YANGU KUBWA NDUGU ZANGU NI KUTAKA KUJUA NI CENTRE GANI NAWEZA KUSOMA HIYO SPECIAL PROGRAMME YA ADVANCE KWA MWAKA 1 NA PIA YENYE HIYO COMB YA SCIENCE ili niweze kuanza hivi punde na pia ningependa kuuliza baada ya kusoma na kufanya mtihani wa KIDATO CHA 6 na kufaulu vizuri naweza kuchagua chuo kikuu nikipendacho hapa nchini na kuhusu BOOM na LOAN ni kama kawaida nakuwa considered kama wanafunzi wengine!?
"NIMEAMUA KULILETA KWENU WADAU ILI MNISAIDIE KUPATA CENTRE NZURI HAPA DAR KWANI MATAPELI NI WENGI".