Kwenu wanaJF: Saint Anne ninawashukuru mno

Mungu akawe mfariji wako my dear, pole sana, kilichobaki ni mimi na wewe kumuombea na kujiandaa na safari yetu ya mwisho, raha ya milele ummpe ee bwana,........
Mwanga wa Milele amuangazie.

Amen,akhsante.
 
Arooo, shukuru hata kwa maisha uliyopata kuishi naye, shukuru, shukuru sana wewe, mwenzako hata baba sikuishi naye na sijajua upendo wake unakuwaje, furahia sana maisha hayo uliyoishi naye na uzidi kumuombea.

Kuhusu kuponya kidonda hicho ni suala la muda tu, usikae pekee yako, ukawa mpweke sana, yatakwisha na utasahau angalau.

Pole kwa kufiwa. Zaidi, wapende wanao, majirani, mama na ndugu zako wa karibu ambao wapo hai! Furahia hili tukio linaloitwa maisha.
 
Hakika


Mwanaume nitakayepata itabidi asimame kama mume na baba.


Akhsante kwa faraja, asantee kwa maombi
Na Mungu atatenda.
Ubarikiwe.
 
Asante kwa faraja.
 
Poleee mno.acha basi kuniliza hadi huruma. Pole jinsi siku zinavyopita maumivu yatapungua.

Mm baba yangu alifariki nikiwa bado mdogo so yale maumivu sikuyapata kiviiile.kama ambavyo angeondoka sasa.
Ninachokumbuka kwa baba alikuwa akipenda kunambia " luckyline ukifikisha miaka 7 ukajua kujiogesha utaenda kusoma Nairobi" akaondoka bado sijafikisha 7.

Mwaka jana mwezi wa 6 nilifiwa na shoga yangu wa karibu sana yaan sio rafiki tu ni kama ndugu.
Yale maumivu niliyoyapata pale makaburi ya kinondoni sijawahi pata nilivuta hisia zote tangu tukiwa chuo tunaitana "my wiii" tunalala wote, kwao nikama nyumbani, nikifika dar tunazunguka wote, 😭😭😭😭 hapana kifo kinauma.
 
Pole sana rafiki yangu mpenzi Saint Anne

Mungu amrehemu baba yetu mpendwa...

Sote tuko safarini, kila mmoja lazima afike mwisho wa safari... Piga moyo konde na mshukuru Mungu. Wanadamu tumeumbwa kusahau, ni swala la muda tu...

Nilitamani niwe baba yako mlezi nikualike uje uishi hapa kwangu... Tatizo haya machalii hapa nyumbani nikiyaangalia kwa jicho la kiroho naona kabisa kutakuwa na dalili za ubakaji... Nami siyapi poketi mane, acha yaendelee kupambana na sabuni mpaka kieleweke...

Nakumbukua uliwahi kusema mimi ni rafiki yako, basi najua utakuwa umenielewa kirafiki...

Ngoja niwahi hapo kaunta nikafanye mapenzi na K Vant. Hizi Habari za misiba nisipopata K Vant huwa usiku naona nimegombana na mama, nami nlishaapa sitaki kulaaniwa na mama...
 
We mzee chenga sana. 😂😂
 
daah maneno yako yanatia uchungu sana,mwenyezi mungu akutie nguvu mamy na ampe baba yetu pumziko la milele
 
Nimefiwa na dada yangu,nimefiwa na bibi yangu ila msiba wa baba acha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…