blackstone
Senior Member
- Aug 11, 2015
- 147
- 129
Habari zenu wakuu
Kimsingi kumekuwa na mambo mazuri na chanya yanayofundishwa katika vyuo mbalimbali nchini zinazohusiana na mambo ya elimu lakini umekosekana uwepo wa kumuandaa mwalimu kihalisia kukabiliana na changamoto mbalimbali za shuleni anapoajiriwa.Wakuu hii ni kwa wale waalimu wazoefu ni mambo gani yakiuchumi kisaikolojia anayopaswa kujiandaa kijana anayesomea ualimu au anayesubiria ajira serikalini katika hii sekta ya elimu.Hii kwenu walimu wakongwe.Nawasilisha