Kwenu wadada; sijui nani kawaroga?

Kwenu wadada; sijui nani kawaroga?

Kiongozi usisahau kuwa mwanamke/mke naye ni binadamu so kama binadamu wengine atakua na mapungufu fulani ambayo inabidi mtu wa pili amwonyeshe na amsaidie kuyarekebisha.

Lakini pia nao wanachoka hapa uwatoe wale ambao ni wavivu, lakini kama ni mwanamke anayejishughulisha atachoka wakati ww unachoshwa kwa stress na pressure na vitisho vya bosi ofisini yeye naye anachoshwa na kazi za home unaweza ukawa unazichukulia poa but take time siku moja ujaribu uzifanye hizo kazi za nyumbani ktk namna unayoitaka ww ndio utaelewa how tired she can get.

So ishi naye kwa akili na u-appreciate anachokifanya, msaidie ktk mapungufu yake msaidie where you can na maisha yataenda vizuri sana.
 
➿➿➿➿➿➿➿➿➿➿


🍇KWENU WADADA🍇

🍇Sijui nani kawaroga?

🍇kwann baadhi yenu mnakua na dharau na kiburi kwa waume zenu?
Ni kweli hamjui thamani ya ndoa au dharau tu?


🍇Mumeo ametoka anaenda kibaruani hata humuagi kwa vizuri una uhakika wa kuonanana nae tena?


🍇Anafika kazini anapata misukosuko ya kila aina, kazi yake pengine ngumu sana, anafokewa na kudhililishwa na boss, ana madeni yote ni kwa ajili ya kutafuta maisha yenu a nachopata mnakula wote pengine hata mamake hampelekei na unafurahia.



🍇Anarudi nyumbani amechoka kama punda anategemea akutane na uso wako ulojaa bashahshaa lakini anakuta na uso ulojaa dharau.


🍇Hata ulipo huinuki kumpokea na kumkaribisha anajipokea mwenyewe, wewe unapiga soga, ama uaangalia movie ama unachati, hata hujali kua mume wako ameingia, unasahau kua huyo ni toafutia na yoyote yule kwenye maisha yako, umuhimu wake kwako hauna Mizani.


🍇Anaelekea bafuni hajatengewa maji akafate maji mwenyewe, akirudi ajipakulie ale peke yake.


🍇Ikifika wakati wa kupumzika anahitaji kitanda kilopambwa kwa ajili yake lakini wapi!!!!!Anakutana na shuka lile lile lilotandikwa wiki mbili zilopita hata mtoto alilazwa na kujisaidia hapo.


🍇Mke nae anapanda kitandani hapo mume anategemea kupata maneno matamu na laini kutoka kwa mke wake,anahitaji angalau faraja yake, anahitaji shukran na dua na kupewa moyo na mke wake hapo anakutana na malalamiko na masimango na kudaiwa hiki na kile.


🍇Sio haya tu mke anapanda kitandani ananuka domo na majasho na kikwapa, ama dera linanuka zaziwa, Mume hisia yote ya kua karibu na Mke inamuondoka.


🍇Aliewaroga nadhani alishafariki Hivi akitafuta mke mwengine na akakukimbia wewe utasema mke mwenza amekoroga? Unadhani unaweza kuupata moyo wake?


🍇Jirekebisheni........ ni ushauri tu
Ukipenda uchukue.🍇
Du VibekamaLote IMEPENYAAAAAA!!! Mambo hayo yapo TANGA tu.
 
Pole kwa uliyokutana nayo, ukijua namna ya kucheza na akili ya mwanamke hutopata shida ya akili hivi na kujiuliza kwanini anabweteka hivi na hafanyi kile.

Mie sijaolewa ila nimesikia watu nwakisema, hukufunzwa namna ya kukaa na mke?? Wazee wako walikuacha uje ulalame tuu hewani...!!

Ukijua tabia ya mtu na ukaitafutia nafasi kwenye maisha yako, huyo mtu hakusumbui kuishi nae na wala hakupi jaka moyo.

K' Matata.

Mwanamke ukimjua ukamkamata atakufanyia lolote...
 
Kiongozi usisahau kuwa mwanamke/mke naye ni binadamu so kama binadamu wengine atakua na mapungufu fulani ambayo inabidi mtu wa pili amwonyeshe na amsaidie kuyarekebisha.

Lakini pia nao wanachoka hapa uwatoe wale ambao ni wavivu, lakini kama ni mwanamke anayejishughulisha atachoka wakati ww unachoshwa kwa stress na pressure na vitisho vya bosi ofisini yeye naye anachoshwa na kazi za home unaweza ukawa unazichukulia poa but take time siku moja ujaribu uzifanye hizo kazi za nyumbani ktk namna unayoitaka ww ndio utaelewa how tired she can get.

So ishi naye kwa akili na u-appreciate anachokifanya, msaidie ktk mapungufu yake msaidie where you can na maisha yataenda vizuri sana.

Njoo tunywe mbege mangi
 
Back
Top Bottom