lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,749
- 3,462
Hongereni Kwa kazi nzuri ya kujenga maduka mazuri kuzunguka kituo chenu cha polisi, ila kibanda kilichopo mbele ya kituo chenu kinaondoa hadhi ya jengo lenu.... Banda Hilo halitumiki na ni kuu kuu
Na kama ni makumbusho basi liwekwe katika Hali ya usafi. Mie yangu hayo tu.
Wasalaam.
Ahahahaaaa wewe umesema Mkuu...Litakuwa la ccm kwa vyovyote au mtu mwenye vinasaba na ccm
Ipo siku mtashindwa kuhudumia ndoa zenu na kuanza kuilaumu ccmLitakuwa la ccm kwa vyovyote au mtu mwenye vinasaba na ccm
Labda halafu Mkuu maana haingii akillini kabisa kile kibanda kuwapo maeneo Yale huyo naye atakuwa alitahiriwa kimeru na bila shaka na mmeru[emoji52]kubishana na mapoti yataka moyoNasikia Lina mgogoro, hayo ni makazi ya mtu inasemekana huyo Jamaa ni mtata balaa, wakimsumbua tu anaenda ofisi zote kubwa unazozijua . Wanatakiwa wamlipe fidia ya hapo. Hapo wanavizia adanje ili waanze kusumbuana na warithi