Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,465
- 5,436
- Thread starter
-
- #21
Mkuu tambua yule nikiumbe anaenda kuzalisha na utaozeshaKwanza sioni umuhimu wa mahari hawa wazee wanatuibia
Kama walipata tabu kukuza binti hata wanaume wazazi wao walipata tabu kuwakuza nao wanaitaji pongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wakristo wameshindwa kufanya wepesi kama wenzio ili nao waoane wenyewe kwa wenyewe tu kama bure?Ushasema India siyo Tanzania, kwanza hata huu utamaduni wanaoenda nao waislm ni wakiarabu kwasababu waarabu wao wanaoana wao kwa wao hivy hawaoni hasara hata wakimpa msichana bure muoaji kwani wanaamini ni ndg
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kivile ila itapoza machunguKwa hyo unafikiri hiyo milion 1 yako kama mahari inaweza kufidia makuzi yake??
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya bhana hapa sina hoja ila waambie wapunguze kulialiaMbona wakristo wameshindwa kufanya wepesi kama wenzio ili nao waoane wenyewe kwa wenyewe tu kama bure?
Mi navyojua dini zote hazifurahii kuona mtu anahama dini yao kwenda kwenye dini ingine kwa kigezo cha dini
Hata wakristo hawafurahishwi kuona mkristo kabadili dini kua muislam
Lakini kwenye ishu ya mali waislamu wamejitahidi kulegeza kamba kisela, kwa mkristo hata uende kuoa mtoto wa askofu lakini kupeleka biblia kama ni kielelezo cha mali utaonekana umewadharau sana
Ila kama huna uwezo c usubiri sasa haina haja yakukurupukaSwadaqta!!!!
Ndivyo tulivyo aminishwa pia inategemea muhisika anathamini vp kuhusu mwanamkeKwa hiyo thamani ya mwanamke inaoneshwa/inapimwa kwa mahari kubwa?
Ndio mahari ya mwanamke aliye soma lazima iwe tofauti na yule aliye ishia darasa la saba BKwa hiyo thamani ya mwanamke inaoneshwa/inapimwa kwa mahari kubwa?
Hata mimi nakubaliana na wewe katika hili siku hizi mahari haina maana yoyote. Mahari ilikuwa na maana zamani na hasa mahari ya kweli ilikuwa inatolewa mfano uchaggani na/au uhayani.Kwanza sioni umuhimu wa mahari hawa wazee wanatuibia
Kama walipata tabu kukuza binti hata wanaume wazazi wao walipata tabu kuwakuza nao wanaitaji pongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
ndivyo.Hilo mbona lipo wazi, Dini ya kiislm msichana anaamuliwa ataje yeye mahari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana cpo huko unapofikiriaKwahiyo mwenzio akishakuwa blocked wewe ndio utaolewa badala ya huyo aliemblock mwanaume au?
Kama wewe kweli ni.mwanaume basi uko na shida mahali kama sio brain yako ina shida basi jinsia yako iko na shida.. mwanaume rijali
Hapana mkuu nimtazamo tuu pia ukiona mambo bado nibora ukajipanga na siyo kulialia
Ukishashatambua thamani ya mwanamke hautafikira hayo uliyoyaandikaHata mimi nakubaliana na wewe katika hili siku hizi mahari haina maana yoyote. Mahari ilikuwa na maana zamani na hasa mahari ya kweli ilikuwa inatolewa mfano uchaggani na/au uhayani.
Kule ilikuwa inapelekwa zaidi zaidi pombe alafu mkishakubaliwa mnainywa wenyewe kwa pamoja na wenyeji, kisha mnarudishiwa madumu yenu matupu mnaondoka.
Siku hiyo ya mahari ilikuwa kama siku ya wazee wa pande mbili kufahamiana (get together flani). Siku hizi ujanja ujanja umekuwa mwingi nao wanatozana pesa nyingi, utafikiri wanauza binti yao.
Ndiyo maana hata heshima ya ukwe/mkwe imepungua sana kama siyo kuisha kabisa. Zamani mkwe alikuwa mkwe kweli kweli siyo haya ya siku hizi ambapo baba/mama mkwe analewa pamoja mke/mme wa mtoto wake kisha wakishalewa wanakokotana kwenda nyumbani. Hakuna heshima kabisaa.
Sasa mtu unamtoza mamillioni ya pesa eti mahari, mwisho wa siku anaichukulia kama biashara nyingine kama vile kanunua gari showroom ataanzia wapi kukuheshimu kama mkwe??