Kwenu Ndalichako na Jafo

Kwenu Ndalichako na Jafo

real CAG

Member
Joined
Nov 6, 2019
Posts
20
Reaction score
49
Poleni kwa majukumu ya kila siku ya kujenga taifa. Nawatumia ujumbe huu nawaomba ufanyieni kazi.

Ninyi wenyewe ama Watendaji wa Wizara zenu ifanyieni uchunguzi na auditing shule yenye usajili wa S.4048 iliyopo Meru-Arusha. Ulenge mambo yafuatayo;

1. Matumizi ya fedha ya serikali ya kila mwezi inayopelekwa shuleni (kama ni sahihi).

2. Suala la sakata la idadi ya wanafunzi (wanafunzi hewa) ambalo lilipelekea mpaka TAKUKURU kuchukua daftari ya idadi ya wanafunzi lakini suala linasuasua.

3. Mwaka 2017 Ndalichako ulipeleka Zawadi ya milioni 2 na cheti kwa shule kupanda katika matokeo, Sasa kaulize fedha hiyo imefanyiwa nini na ni kwa HAKI?

4. Kaulizeni ni kwanini walimu wawili walienguliwa majina yao baada ya walimu hao kuchaguliwa na Afisa Elimu Taaluma kwenda kusimamia mitihani ya kidato cha nne? Na tuhuma za kutoa 10% (ten percentages) kwa Mkuu endapo mwalimu ataenda kusimamia na wasionesha dalili ya kutoa hawaendi hukatwa majina yao.

5. Michango shuleni, kaulizeni ilikuwaje mpaka Mkurugenzi aliyekuwepo Christopher Kazeri adai maelezo dhidi ya hili?

6. Mahusiano ya kiutendaji baina ya walimu na uongozi uliopo,n.k

Hii ni kwa maslahi mapana ya elimu Tanzania na watoto wa Kitanzania.
 
Waziri wa nchi zima aje kwajambo dogo kama hilo kwa la shule moja uko hamna wakilishi wa elimu mkoa wilaya na kata?
 
Huo ndio Ukweli. Mchawi wa Mwalimu ni Mwalimu mwenyewe. Alieandika bandiko hili ni mwalimu kabisa.
Naona kama mleta mada ana jambo jema tu juu ya hela ya serikali. Sijui mtazamo wako wewe.
 
Bahati mbaya unamuagiza waziri kwenda kuikagua shule, hilo halitatokea kamwe.
 
kwa huu upapet yaani utakufa masikini maisha

kwa akili zako hizi za wivu wewe hata kupanga bajeti ya ako kamshahara kako itakua kanakushinda na huwezi fika tarehe 15 na mshahara
Poleni kwa majukumu ya kila siku ya kujenga taifa. Nawatumia ujumbe huu nawaomba ufanyieni kazi.

Ninyi wenyewe ama Watendaji wa Wizara zenu ifanyieni uchunguzi na auditing shule yenye usajili wa S.4048 iliyopo Meru-Arusha. Ulenge mambo yafuatayo;

1. Matumizi ya fedha ya serikali ya kila mwezi inayopelekwa shuleni (kama ni sahihi).

2. Suala la sakata la idadi ya wanafunzi (wanafunzi hewa) ambalo lilipelekea mpaka TAKUKURU kuchukua daftari ya idadi ya wanafunzi lakini suala linasuasua.

3. Mwaka 2017 Ndalichako ulipeleka Zawadi ya milioni 2 na cheti kwa shule kupanda katika matokeo, Sasa kaulize fedha hiyo imefanyiwa nini na ni kwa HAKI?

4. Kaulizeni ni kwanini walimu wawili walienguliwa majina yao baada ya walimu hao kuchaguliwa na Afisa Elimu Taaluma kwenda kusimamia mitihani ya kidato cha nne? Na tuhuma za kutoa 10% (ten percentages) kwa Mkuu endapo mwalimu ataenda kusimamia na wasionesha dalili ya kutoa hawaendi hukatwa majina yao.

5. Michango shuleni, kaulizeni ilikuwaje mpaka Mkurugenzi aliyekuwepo Christopher Kazeri adai maelezo dhidi ya hili?

6. Mahusiano ya kiutendaji baina ya walimu na uongozi uliopo,n.k

Hii ni kwa maslahi mapana ya elimu Tanzania na watoto wa Kitanzania.
 
Sijui watanzania tulirogwa na nani jamani,hivi mtu ameona uozo uliopo hapo shuleni kwake ameutoa hadharani ili kuokoa pesa za mtanzania lakini pia elimu ya watoto wetu na wadogo zetu.Lakini watu wanamshambulia kwa maneno.Sasa sisi ni wasomi sampli gani?
 
Mwalimu, yaani wewe unapaswa ujue kuwa kazi yako kuu shuleni ni KUFUNDISHA mengine achana nayo...kama kuna wapigaji acha wapige siku wakikamatwa wewe hayata kuhusu....istoshe shule ni ya serikali sasa wewe unawashwa wapi? Nchii hii ni kubwa na wapo wengi wanaoifaidi tofauti na huo uongozi wa shule ...hao Jafo na Ndalichako unao waita wanaishi maisha ya kifahari mfano,
1. Wanaishi kwenye nyumba za serikali
2. Wamejenga makasri ya maana ya kuishi familia zao
3. Wana bima za Afya(green card) za kuwapeleka hadi Ulaya na Amerika wao hadi na mahouse maids wao
4. Watoto wao wanasomea shule za Kifahari na za mamilion
5. Wana mishahara ya mamilioni kila mwezi
6. Posho zao kwa saa moja zinazidi mshahara na kiinua mgongo chako baada ya kustaafu
7.Wanalala ndani nje wamelindwa kwa bunduki, cctv camera, mbwa wa kali na electricity fence
8. Akaunti zao huenda hawajui kuna salio kiasi gani hadi leo
9) Mifugo yao (paka, mbwa, kuku nk) inabajeti ya wiki inayozidi mshahara wako wa miez 6
10) Wanatembelea magari ya kifahari japo ni kodi yako pia
*KIBAYA ZAIDI NYOOTE KWA PAMOJA MNAITWA WATUMISHI WA UMMA*
Sasa wewe mwalimu unawashwa nini.
Ushauri wangu
1) Jitahidi utafute pesa
2) Kazi yako kuu shuleni ni kufundisha mengine ni ziada
3) Si lazima kila mtu kufanya kazi za ziada mfn kusimamia mitihani nk
4) Kwenye mkataba wako uliambiwa utafanya pia na majukumu mengine km yatakuwepo ila hawakuyabainisha...
5) Dunia haijawahi kuwa na usawa kamwe.
6) Jifunze kukubali yaishe
7) Kuna watu wanalitafuna hili Taifa kuliko huyo HM wako na SMT yake
8) Usipoteze muda mwingi kuwaza mambo ya umma bali iwaze familia yako na maisha yako.
 
Pesa ya serikali inaliwa kwa documents kama documents zipo hakuna tatizo kabisa

Ushauri wangu tu kwa mwalimu hapo acha wivu jipendekeze pendekeze waone uwepo wako na umuhimu wako ili wasikusahau wanapkuwa wanakula keki ya taifa

Hata uyo jaffo na ndalichako nao wanakula keki ya taifa kwa level zao usione wapo busy kutembelea miradi wanafuata keki ya taifa uko wakurugenzi, wakuu wa mkoa wa weka hazina wanajua wanakulaje hiyo keki

Kama umesoma na upo nje ya mfumo pigana uingie kwenye mfumo hizi kelele hazitakusaidia kitu
 
Acha majungu pambana na hali yako, hao unaowatuma hawashughulikii changamoto ndogo kama hizo, Hilo linamalizwa na MEK tu au afisa elimu!
Poleni kwa majukumu ya kila siku ya kujenga taifa. Nawatumia ujumbe huu nawaomba ufanyieni kazi.

Ninyi wenyewe ama Watendaji wa Wizara zenu ifanyieni uchunguzi na auditing shule yenye usajili wa S.4048 iliyopo Meru-Arusha. Ulenge mambo yafuatayo;

1. Matumizi ya fedha ya serikali ya kila mwezi inayopelekwa shuleni (kama ni sahihi).

2. Suala la sakata la idadi ya wanafunzi (wanafunzi hewa) ambalo lilipelekea mpaka TAKUKURU kuchukua daftari ya idadi ya wanafunzi lakini suala linasuasua.

3. Mwaka 2017 Ndalichako ulipeleka Zawadi ya milioni 2 na cheti kwa shule kupanda katika matokeo, Sasa kaulize fedha hiyo imefanyiwa nini na ni kwa HAKI?

4. Kaulizeni ni kwanini walimu wawili walienguliwa majina yao baada ya walimu hao kuchaguliwa na Afisa Elimu Taaluma kwenda kusimamia mitihani ya kidato cha nne? Na tuhuma za kutoa 10% (ten percentages) kwa Mkuu endapo mwalimu ataenda kusimamia na wasionesha dalili ya kutoa hawaendi hukatwa majina yao.

5. Michango shuleni, kaulizeni ilikuwaje mpaka Mkurugenzi aliyekuwepo Christopher Kazeri adai maelezo dhidi ya hili?

6. Mahusiano ya kiutendaji baina ya walimu na uongozi uliopo,n.k

Hii ni kwa maslahi mapana ya elimu Tanzania na watoto wa Kitanzania.
 
Jaffo ameoa wanawake wane

Back
Top Bottom