Kwenu madomo ZZZEEEGGGEEE

blackstone

Senior Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
147
Reaction score
129
Ni udomo zege uliopitiliza,kutafuta dem au mchumba hapa JF baati mbaya hata mtu hujamuona.Ivi uko mtaani kwenu hakuna wanawake;hizi ndo hasara za kuangalia porn kila unapoangalia ndio zegee inatengenezwa.
Enyi madomo Zege acheni uo mchezo mtakuja dondokea pua.Ni mtazamo tu
 
Wakiona tu unajua ku like na kucoment yaan wanakuona malkia
 
na wanawake wanaotafuta wanaume hapa tunawaitaje mkuu , maana unonekana mtaalam wa nyanja hizi
 
Baati - Bahati
uko - huko
uo - huo

Ila wamesikia mkuu
 
KUMBUKA HAKUNA ENEO MAALUMU LA KUPATIA MWENZI.HESHIMA PIA POST ZA WENZIO HUWEZI JUA
 
Kwan wa jf wanakaa sayari nyingne au? Nao ni wa mtaani pia tofaut tu ni kwamba hamjuani
 
Mapenzi ya mitandaoni hayajawahi kumwacha mtu salama....D.D.D.D
 
Fata yako yasiyouhusu yaache.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…