ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Bwana Jb na Ray kigosi ni kweli majuzi mmlikuwa mwanza na Bashite????kwamba wewe Jb ndiye mhamasishaji wa wasanii kupost mambo ya bashite mtandaoni?
Ni kweli kwamba yale madai ya Rais wa Taff ya kwamba kuna wasanii wawili wamepewa viwanja huko mbweni ikiwa nimaandalizi ya kumtoa madarakani ni nyie wawili?
Hivi mnadhani bashite ataiokoa bongo movie? actually ndo mnazidi kuharibu kabisa muulizeni TID awape jibu la hali yake sasa hivi
Nawaonea huruma sana ila angalau mtakuwa mmepata hivyo viwanja,nawashauri mjenge nyumba haraka maana kisanaa ndo kwisha habari yenu
Halafu sijui mna plan gani maana eti majuzi Ray kajifanya kuilaumu serikali kwa kuwasahau wasanii na Babu tale naye analalamika
eti kasomesha mkewe mpaka degree ila kazi hakuna,mnatengeneza kick gani tena?maana hiyo crew yenu mkijifungiaga mnawazaga mavitu ya ajabuajabu tu.