Kwenu Human Resource Managers

Granite

JF-Expert Member
Jul 6, 2016
268
623
Habari wanajukwaa hili, kwa mara nyengine nakuja kwenu Ma Hr katika Kampuni/Taasisi zenye miradi ya ujenzi inayoendelea nchini, Ma Hr wenye connection yeyote katika sekta ya ujenzi, Wamiliki wa Makampuni, Wasimamizi wa miradi, Wahandisi wabobezi, viongozi na watanzania wenzangu Nawasilisha kwenu ombi langu la kutafuta nafasi ya ya ajira katika kada ya uhandisi ujenzi. Uzoefu wangu katika kada ya uhandisi ni miaka 2. Maeneo ambayo unaweza kufanya kwa ufanisi mkubwa ni

1.Designing (Building)
2.Supervision of Site Works both (Civil Works and Building Works)
3.Preparation of Bill of Quantities (BOQ)
4.Ninaweza kusimamia ujenzi wa nyumba ya kuishi kwa ubora na viwango kama ilivyosanifiwa na kama maelekezo ya Msanifu majengo yanavyohitaji

Academic qualifications
1.Bachelor in Civil Engineering
2.Diploma in Civil Engineering
3.ACSEE
4.CSEE

Professional Certificate
Graduate Engineer Certificate by Engineer Registration Board (ERB)
Industrial Risk and Security Management Certificate By Institute of Engineers of Tanzania (IET)
Construction Pre Contract Practice Certificate by Contractors Registration Board (CRB)


Computer Knowledge and Skills

1.Computer Aided Drawing (AutoCAD)
2.Prota Structure
3.ArchiCad
4.Microsoft Office Package (Word, Excel, Power Point, Publisher)

Nipo tayari kufanya kazi mahali popote katika nchi yetu. Ahsanteni

Naomba radhi kwa niliowakwaza nawatia moyo watafutaji wenzangu tusichoke, ATAFUTAYE HACHOKI, AKICHOKA KAPATA
 
Dah mkuu kama una budget kidogo nenda kasome udereva..
Ukipata leseni anza kuomba kibarua cha udereva kwenye hizo sites..wakati cv zako nyingine zipo kwapani..
Itakusaidia kufikia ndoto zako engineer
Ukishakaa madhabahuni utakula vya madhababuni..
Sogea jioni utakula vya jikoni.
 
Dah mkuu kama una budget kidogo nenda kasome udereva..
Ukipata leseni anza kuomba kibarua cha udereva kwenye hizo sites..wakati cv zako nyingine zipo kwapani..
Itakusaidia kufikia ndoto zako engineer
Ukishakaa madhabahuni utakula vya madhababuni..
Sogea jioni utakula vya jikoni.
Nashukuru kwa wazo zuri nitajaribu kupambana nilifanyie kazi, japo ugonjwa wa Corona umeteteresha sana hata wateja wale wa nyumba moja moja imekuwa ngumu kuwapata, ni kipindi kigumu lakini sijakata tamaa
 
Mkuu hata Mimi ukulima naweza kusaidia saidia tukumbukane tu
Mzee unakwama wapi naona phase I ya SGR imekwisha sasa wanaenda Phase II, wawahi ndo muda huu fursa zipo kule afu Civil kibao wanahitajika.Mimi sipo huko ila napata infos kwa mbali
 
Mzee unakwama wapi naona phase I ya SGR imekwisha sasa wanaenda Phase II, wawahi ndo muda huu fursa zipo kule afu Civil kibao wanahitajika.Mimi sipo huko ila napata infos kwa mbali
Mkuu nisaidie info sahihi basi afu phase II sijui wanaousika na ajira ni eneo gani yani
 
Washukie huko porini mzee anzia ofisini kwao,mjini ni maofisi tu
nilishawahi kwenda kipindi phase I sikubahatika, Sasa hivi hali ya kipato hairuhusu kwenda mahali ambapo sina uhakika naenda kubahatisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom