Nilifikr umeandika kitu cha maana kumbe....
unamlazimisha awe na miaka 35 unajuwa alimaliza form 4 na miaka mingap au umeona cheti chake cha kuzaliwa
Pili kama sera ni miaka 3 nyuma kumaliza form six au Dplm unajuwa form six kamaliza lini?? au Diploma??
Hlf lini hii dunia imewah kuwa fair watu wamefaulu dvsn 1 point 7 ila wamekosa vyuo raundi zote 3 hiyo ni fair watu wana GPA ZA 4.5 + wamekosa vyuo wamepata wa GPA ya 3 hiyo ni Fair.
Hlf hayo ni majungu na umbea kwani huyo mtu mmoja akipata wewe unapungukiwa nini au akikosa ndiyo hiyo pesa itaongezeka kwako..sisi sote ni watanzania bana kama mwenzio kapata wewe kausha pambana kivyako.
Kama kweli wewe ni ABDUL NONDO kabisa yule aliyejiteka basi ni kweli maana kama utetezi wako ni huu sasa huyo ndug unajuwa shida zake yeye kama kapata acha apate hakuna haki
Hiyo pesa atakayopata ndiyo itatosha kuhudumia wengine wote watakaokosa???
Bro tunakuheshimu heshimu pia shida za wengine.