Kwenu Airtel

Kwenu Airtel

APA CHICAGO

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
259
Reaction score
292
Hivi kampuni ya Airtel mnajua kuwa huduma ya internet imekuwa dhaifu sana kwa siku kadhaa hivi karibuni kwa wateja wenu wa Airtel nikiwemo na mimi mwenyewe.

Ninaomba wahusika mlifanyie kazi hili.
 
Hivi kampuni ya airtel mnajua kuwa huduma ya internet imekuwa dhaifu sana kwa siku kadhaa hivi karibuni kwa wateja wenu wa airtel nikiwemo na mimi mwenyewe.Ninaomba wahusika mlifanyie kazi hili.

Mbona kwa wengine hakuna hilo tatizo?
 
Airtel ni wazuri kwa bando lakini data ni mbovu sn

Kwahiyo wabadilike wawe Wazuri Kidata lakini kule katika Kubandolika wabane ili Siku zingine tuje Kuwalaumu hapa hapa tena au?
 
Hivi kampuni ya Airtel mnajua kuwa huduma ya internet imekuwa dhaifu sana kwa siku kadhaa hivi karibuni kwa wateja wenu wa Airtel nikiwemo na mimi mwenyewe.

Ninaomba wahusika mlifanyie kazi hili.
Mimi kwangu ninayeishi Kisukulu hata mawasiliano ya kawaida imekuwa shida hadi nipande mtini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom