Kwenda toilet kwa wanandoa.

Kwenda toilet kwa wanandoa.

dnmwami

Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
23
Reaction score
4
Wakuu habari
Nisaidieni kwa hili mana mimi na wife naona tunaenda toilet(kubwa) kwa timing sana na hakuna aliewai kumuuliza mwezie! (siwezi kwenda ananiona like sijawai kumuona akienda!) ni kawaida au kuna tatizo apo!
 
Unataka ujue au yeye ajue ili iweje!? Maswali mengine bana!!!! :nono::nono::nono:

Wakuu habari
Nisaidieni kwa hili mana mimi na wife naona tunaenda toilet(kubwa) kwa timing sana na hakuna aliewai kumuuliza mwezie! (siwezi kwenda ananiona like sijawai kumuona akienda!) ni kawaida au kuna tatizo apo!
 
Wakuu habari
Nisaidieni kwa hili mana mimi na wife naona tunaenda toilet(kubwa) kwa timing sana na hakuna aliewai kumuuliza mwezie! (siwezi kwenda ananiona like sijawai kumuona akienda!) ni kawaida au kuna tatizo apo!

Ha ha ha ha.......Hakyanani sijawahi kufikiri kama naweza kutana na swali kama hili......Vipi kwani wewe ulitaka akuone wakati unaenda msalani..
 
duh sasa wanandoa na watoto mnao,wao vp kama wapo wanaendaje
 
Mna matatizo hapo,
mtakapomaliza hiyo Honeymoon na kuanza kula makande ni lazima Mtajamb** amba kila mara na kuumwa tumbo hapo mtaona kitu cha kawaida.
Ina maana bado hamjaanza jifunika shuka moja?
 
Wakuu habari
Nisaidieni kwa hili mana mimi na wife naona tunaenda toilet(kubwa) kwa timing sana na hakuna aliewai kumuuliza mwezie! (siwezi kwenda ananiona like sijawai kumuona akienda!) ni kawaida au kuna tatizo apo!

shwali gani hili mkuu? ua ndo mambo ya biere na weekend?.
 
Wakuu habari
Nisaidieni kwa hili mana mimi na wife naona tunaenda toilet(kubwa) kw timing sana na hakuna aliewai kumuuliza mwezie! (siwezi kwenda ananiona like sijawai kumuona akenda!) ni kawaida au kuna tatizo apo
hujaeleweka
 
Hahahahaaaa!
Kwikwikwikwiiii!
Hihihihihiiiii!
Mi sjaoaaa! Ila duh! nanyata sana kwenda kupiga mashonde!
Hahahahahaaa!
Usikuuuu! u make ma dee!
 
Ushafakamia sasa unaona soo kwenda toilet mpaka idhini itoke JF......
 
Jamvi limekuwa kubwa mno vitu kama hivi ni vigumu sana kuviepuka. Jamvi lina wanachama 152,000 karibu kila siku wanaingia at least 30,000 na kuna siku namba inagota kwenye 50,000 hivyo madudu kama haya ni lazima yawepo. Cha muhimu ni kupambana nayo tu.

jf inazidi kushuka thamani kama shilingi ya tanzania.
 
Thats why you call your self BACK! you deserve the name.
 
Kama uko SERIOUS basi na ufuate ushauri wangu;

Mapenzi/Ndoa ni mwili mmoja. Ni mwili mmoja unaoshirikisha harufu, majimaji n.k. Harufu ambazo ni natural ni lazima zikubalike baina ya wawili. Hapa ninamaanisha vitu kama kujamba. Harufu ambazo zinatokana na uchafu kama soksi, vikwapa n.k inabidi mshirikiane wanandoa kuzikabili na kuzitokomeza.

Sijui mahusiano yenu yalikuwaje tangu awali. Kwa mfano wa design ya vyoo ambayo bafu na sinki ya kupigia mswaki viko pale pale, hakuna tatizo kama mwezi wako akiwa anakata gogo na wewe uko pale. After all NI MWILI MMOJA.

Mimi bana na mke wangu hatuna tatizo. Ila nikiwa nakata gogo kama yupo ndani namu warn maana najua mziki wangu si mchezo. Mara nyingine anabaki, mara nyingine ngoma inamshinda. Pia hata yeye akiwa anakata gogo naweza kuwepo ila mara nyingine hali inakuwa tight.

Kujamba ndio kawaida kabisa ila atleast unaweza kutoa angalizo, Love, najamba...... Ile harufu amini nakwambia inaleta kautani hivi. Ikiwa kali unaweza piga yowe(kiutani) na utani huu(mzuri) unaongeza ladha ya mapenzi.
 
Duh . . . kweli mwili mmoja.
 
Naunga mkono hoja. Watakwepana hd ln na ndio maisha hayo. Anaweza mwingine kuwa toilet nae akioga, etc. Km yupo serious umemfaa.
Kama uko SERIOUS basi na ufuate ushauri wangu;

Mapenzi/Ndoa ni mwili mmoja. Ni mwili mmoja unaoshirikisha harufu, majimaji n.k. Harufu ambazo ni natural ni lazima zikubalike baina ya wawili. Hapa ninamaanisha vitu kama kujamba. Harufu ambazo zinatokana na uchafu kama soksi, vikwapa n.k inabidi mshirikiane wanandoa kuzikabili na kuzitokomeza.

Sijui mahusiano yenu yalikuwaje tangu awali. Kwa mfano wa design ya vyoo ambayo bafu na sinki ya kupigia mswaki viko pale pale, hakuna tatizo kama mwezi wako akiwa anakata gogo na wewe uko pale. After all NI MWILI MMOJA.

Mimi bana na mke wangu hatuna tatizo. Ila nikiwa nakata gogo kama yupo ndani namu warn maana najua mziki wangu si mchezo. Mara nyingine anabaki, mara nyingine ngoma inamshinda. Pia hata yeye akiwa anakata gogo naweza kuwepo ila mara nyingine hali inakuwa tight.

Kujamba ndio kawaida kabisa ila atleast unaweza kutoa angalizo, Love, najamba...... Ile harufu amini nakwambia inaleta kautani hivi. Ikiwa kali unaweza piga yowe(kiutani) na utani huu(mzuri) unaongeza ladha ya mapenzi.
 
Yani umeshindwa kuwa free kwa mkeo, juu ya jambo dogo kama kwenda tiolet ila umekuwa free kutuambia hapa JF?mmoja akiugua hoi mtaweza kuuguzana na kuzoana kinyesi kweli?kweli ndoa za dot com!
 
Hiyo itakuwa ndoa changa...wengine tunaagana kabisa ili kama ni story zisitishwe kabisa mpaka mtu arudi...

Ila nimecheka sana...jamaa kawaza mbali kweli
 
Na sijuhi wakiugua watauguzanaje...nadhani walioana chap chap...bado wanaoneana aibu

Kuna movie moja jina limenitoka mdada wa ki latino anamlazimisha mmewe akae toilet wakatu yeye anamaliza starehe zake...mme alikomaje sasa.

Unajua hata mmoja kama ana aibu mwingine anatakiwa awe chizi...otherwise maisha yanaweza kuwa yana bore maana ni full kupretend; yani unapretend kuwa wewe malaika chooni huendi

Back
Top Bottom