Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 332
Kuna jamaa yangu mmoja ambaye alikuwa single ila kwa sasa ameoa, style aliyoitumia kuoa kidogo inaonekana ni tata, hivyo tujadili faida na madhara ya kutumia style hii kupata mke, ni hivi...
Jamaa yupo dar, na anataka kuoa mtoto wa kimbulu, jamaa akaamua kwenda moja kwa moja umbulluni ukizingatia hakuwahi kufika huko na hana mwenyeji huko, ila akakaa kama wiki mbili jamaa akarudi na mtoto wa kimbullu ambaye anakaa nae hadi sasa huku mchakato wa ndoa na mahali ukiendelea!!
Wakuu mnaionaje hii?