Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,353
- 38,584
Nina watoto wawili ambao mmoja ana Div 4 ya 26 na mwingine Div 4 ya 27. Jee inawezekana kisheria kurudia mtihani huku wanaendelea kusoma kidato cha tano?
Je ana credit 3 kama anazo utamsomesh privateNina watoto wawili ambao mmoja ana Div 4 ya 26 na mwingine Div 4 ya 27. Jee inawezekana kisheria kurudia mtihani huku wanaendelea kusoma kidato cha tano?
Hapana. Uwezekano huo ulikuwepo miaka ya nyuma kwa wenye Division 4 ya 26 lakini huo utaratibu kwa sasa hakuna.Nina watoto wawili ambao mmoja ana Div 4 ya 26 na mwingine Div 4 ya 27. Jee inawezekana kisheria kurudia mtihani huku wanaendelea kusoma kidato cha tano?
Nina watoto wawili ambao mmoja ana Div 4 ya 26 na mwingine Div 4 ya 27. Jee inawezekana kisheria kurudia mtihani huku wanaendelea kusoma kidato cha tano?
Inawezeka mkuu. Kipindi nasoma kulikuwa na watu walikuwa wanarudia mtihan wa form 4 huku wanasoma form 5 na matokeo yalipokuja waliingia form 6. Na mtihan walifanya km private candidateAsanteni sana. Jee wakirudia mtihani si inawezekana mwaka 2019 wakafanya mtihani wa kidato cha sita kama watahiniwa binafsi (Private Candidate)?
Kila siku sera kuhusu elimu za nchi hii zinabadilika. Zamani ilikuwa mtu anaweza kurudia mitihani na akaruhusiwa kufanya mtihani kama mwanafunzi wa kawaida. Lakini sera si zimebadilika?We ni Baba Kabisaa...!!??