heavyload
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 918
- 525
Kauli yako ya jana kwenye uzinduzi wa reli ya standard gauge umenipa somo zuri. Kumbe mh Rais unawafahamu vyema watanzania hasa wale wa kule kazi yao kukosoa kila kitu, kelele nyingi za kila aina ukiwasikiliza utaangusha gari. Chapa kazi na Mungu akulinde na akupe afya njema.