Kweli wanaume wengine kazi ipo ......

kumsamehe utamsamehe tu nakwambia labda hamkuoana lakini kuishi nae hilo uamuzi inategemea na mtu....upande mwingine wa shillingi hivi mwanamke katoka mbio miezi hata mitatu hujui yuko wapi akirudi anasamehewa na mumewe? Wapi? Tena utamkuta mwingne kashaolewa fasta! Hapo ndo huwa sielewi double standard imekaaje!
Hapo ndipo walipo rogwa hawa dadazetu
 
Hapo ndipo walipo rogwa hawa dadazetu

wako too emotional wana huruma sana! Ndo maana wakawa wamama, ndo maana mwanaume hupoa kabisa akiwa na mwanamke! Wanawake ni tofauti sana nasi wanaume kwani hatuna huruma kama wao!
 
mapenzi kitu kigumu....kusamehe anaweza kumsamehe lakini kumpa nafasi kwenye maisha kama ilivokuwa awali mbona ngumu..........
 
hUwezi juwa kama mzima au la maana miaka 7 ni mingi usikute anangoma cha muhimu ni kumuacha maana hana huruma kama alimuacha na mimba kubwa ni kipi kimemrudisha home?
 
Mhhhhh!!! yahitaji Mungu kumsamehe mtu kama huyu. Nafikiri kwa msaada wa Mungu naweza kumsamehe, ila nafikiri sitaweza tena kuishi naye kama mume na mke. Ni ngumu sana.................

mara nyingine tunaleteana mateso yasiyo na sababu na ulazima katika maisha ... kwa nini kutesana namna hiyo?? miaka 7 unasepa na kuicha famiilia yako ikiteseka?? na hapa ndipo utata unapokuja katika suala la viapo vyetu ... "katika shida na raha mpaka kifo kitutenganishe" ... Je! wakati unaapa ulilifikiria hili kwa kina?? ulielewa maana yake ni nini?? kiu - bin adam ni ngumu sana kusamehe, kwani tu wadhaifu na wadhambi! lkn kwa uwezo wa Rabana hakuna lishindikanalo ...

Upendo ni zaidi ya tuvionavyo kwa macho, tuvisikiavyo kwa masikio, na tuvishikavyo ... upendo sii hisia tu, ni kujitoa kwa ajili ya wengine / mwingine umpendaye! Ndoa ni ups and downs, though the magnitude of it differs from one event to the other! Namuonea sana huruma huyo mama, lkn ili apone ni lazima asamehe tu!, hakuna zaidi ya "power of forgiveness!" Kama alimpenda kweli mumewe, naamini atamsamehe! Yaliyopita si ndwele, wagange yajayo!
 
Yani kwanza wala siwezi kuzimia kwa ajili ya mtu km huyu,
Then nitamruhusu ajieleze,
Akimaliza nitamwomba atutoke nje,
Then nitamwambia ageuke nyuma kufuta njia iliyomleta na aende zake,
Na siku akirudi nyuma ile tena namwitia MWIZI.
 
nadhani kibinaadam itabidi umpokee na mpe muda kwanza kwa yeye (baba x) ana mama X wapate muda wa kupumua kwanza maana mshituko aliopata mama x ni mkubwa na naamini hapo hasira na jaziba zilichukua mkondo wake

then mwanamke anatakiwa asikilize hoja za mwanaume na si lazima kwa siku hiyo kufikia mwafaka hivyo ajipe muda wa kutafakari kabla ya maamuzi
 
Yani kwanza wala siwezi kuzimia kwa ajili ya mtu km huyu,
Then nitamruhusu ajieleze,
Akimaliza nitamwomba atutoke nje,
Then nitamwambia ageuke nyuma kufuta njia iliyomleta na aende zake,
Na siku akirudi nyuma ile tena namwitia MWIZI.

je akirudi kuja kuwajulia watoto hali napo itakuwaje?? kumbuka ametubu anatakiwa apewe japo nafasim fulani maana kuna sababu aliyofikia wakati wa maamuzi
 
well, utamtimua, but will it make u feel better??
kwanini hisia na upendo wako juu yake ziwe zimepotea hivyo??
Je, huwezi msamehe mtu hata kama amekukosea vp??
hivi duniani kungekuwa hakuna kusamehe na kusahau unadhani dunia ingekuwa ni mahali salama pa kuishi??
 
Watoto km watamtaka baba yao wamfate anakopatikana,
Nyumba ile awe anaitizama kwa mbali tu akisogea jiran tu namwitia MWIZI,
Nitamsamehe makosa yake ila haimaanishi kuja kuishi na mm au kushirikiana kwa lolote,
Je mie mkewe ningeyafanya hayo angenipokea?
 
Kwa mda wa miaka 7,nitakuwa nishamsahau na wala sitakuwa na hisia zozote juu yake,
So ujio wake wala hautanistua bali utanikera ndio mana kumtimua kwangu nitapata nafuu kwan nitaendelea na maisha ambayo nitakuwa nimeshayazoea,
Hv jaman mtu akuzalishe watoto 2,na akuache na mimba anakuja kurudi baada ya miaka 7,wala simtaki tena!
Mie nitakuwa nishamsamehe bali akatafute maisha yake huko mwenyewe au na hao aliowaona wanamfaa zaidi yangu na wanae!
 
Watoto km watamtaka baba yao wamfate anakopatikana,
Nyumba ile awe anaitizama kwa mbali tu akisogea jiran tu namwitia MWIZI,
Nitamsamehe makosa yake ila haimaanishi kuja kuishi na mm au kushirikiana kwa lolote,
Je mie mkewe ningeyafanya hayo angenipokea?

C ni kweli usemayo na udhaniyo lakini kama mtu amekuja kwako na kwanza amejutia na kuelewa suala alilolifanya bado naamini kama mke au mme unaweza ukampa muda kwanza kwani yakupasa ufikirie kwa kinanini kimemleta na kama amekiri makosa yake ni vyema uangalie na athari zilizojitokeza hivyo ni vyema ukakaa na kutulia na kufanya maamuzi hata kama si kwa kuishi nae kuna masuala lazima mwisho wa siku mtahitaji kushiriki
 
Tukisemea ule ukweli,inamaana nitaishi miaka saba bila kuwa na mwanaume?hapo nitadanganya,
Ni km yeye huko alikokuwa hakuwa ametulia tu lzm alikuwa na mtu,
Na km ni ishu ya kushiriki nae itakkuwa ngumu,ukiachia usalama wa afya nitakua simfeel tena,
Nakuishi kinafiki siwezi ni bora niwe muwazi simuhitaji maishn mwangu tena,
Watoto wake watenda huko aliko kumuona basi!
Hv ww angekuwa mkeo ndio anarudi baada ya miaka saba si utakuwa ushaoa na kuona?
Hebu kuwa mkweli bwana ,hiyo kitu ni ngumu sana aisee!
 
  • Thanks
Reactions: BPM

najua we si malaika na inakuwa haijafungiwa hivyo kuwa na mtu ni sawa lakini naamini unaweza kuwa na fursa ya kukaa nae na ukamwelewesha wewe status yako na nini / kwa nini uliamua kuwa na mwingine na kwa vile yey nae aliondoka kwa kupata aliedhani ni bora .. kwa kumwelewesha kistaarabu hatodiriki kudhania kurudisha uhusiano papo kwa papo atahitaji muda hahahahah
 
Acha kujastifai ww,
Mie sitakuwa na cha kumwelewesha, nadhani hiyo itakuwa ni kazi ya ndugu zake,
Mie nitakuwa busy na aliyeniona na kunikubali wakati wa shida na matatizo yangu,
Tena km ni mie miaka mitatau naenda kuvunja ndoa mahakamani nakuwa huru kuwa namtu mwingine,
Nikishakuwa huru,na pale nahama kbs sitaki,km yy kidume kweli aje kunifata nyumbani kwa mwanaume mwingine aone shuhuli yake!
 
C ndo maana nikasema msikilize maana usitegemee ndugu atakusupport kwa kila wazo lako lilivyo wewe ndo unatakiwa kumwelewesha na uonyeshe msimamo wako uko wapi hahahah
 
Back
Top Bottom