Baba X aliondoka nyumbani kwake miaka 7 iliyopita na kuambatana na nyumba ndogo yake,na kumwacha mkewe akiwa mjamzito miezi tisa na watoto wakubwa wawili, ,bila hata huruma,na hakuwa na mawasiliano yoyote kujua wife na wanawe wanaendeleaje,
,mama wa watu alijifungua mtoto wake salama maisha yakiwa magumu na kuwalea wanae kwa taabu akifanya biashara ya kuuza mboga mboga , mungu si athumani kasomesha mwanae mkubwa sasa yuko form five ,mwingine form two,Na yule alokuwa tumboni sasa yuko la kwanza ,
Juzi mama wa watu akiwa anaandaa chakula mara mmewe huyo after seven years aliyowatelekeza..
Mama kwanza alidhani kaona mzuka na kuanguka chini huku fahamu zikimpotea ,,
Baada ya kuzinduka anakuta jamaa analia huku anaomba kusamehewa.....
eti shetani ndo alimpotosha ,anatubu dhambi zake na sasa anaomba wasameheane waanze upya..:hatari:
Kama wewe ndo mwanamama ulokumbwa na dhahama hili ungefanya maamuzi gani???:A S-coffee:
heeee!
Honestly, ana thamani gani kwangu mtu kama huyo? Hata kama ingekuwa aliniacha na pesa kipindi anaondoka, nakuapia ningemfukuzilia mbali arudi alikotoka or ende kokote anakokujua yeye!!! Unaweza dhani labda angerudi ana pesa ningempokea, Never........haijalishi nina shida kiasi gani baby gal!!!
Ningemfukuzilia mbali,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,shetani or not!!
vipi kama bado ungekuwa na hisia za kumpenda? Ungepingana na hisia zako?
Haiwezekani niendelee kuwa na hisia za kumpenda kama mume/mpenzi labda itokee miujiza dunia ianze upya!! ...
ukimsamehe anakupatia zawadi ya vvu bure,kwani hujui atokakoNingemsamehe
mi ningemvuta chumbani ningempa ilekitu kaimiss for 7 years afu ndo maongezi yaanze baadaye
Kama shetani alimdanganya the first time, what makes him think hatadanganyika tena? Shetani si bado yuko kwenye ajira,ama?
vipi kama bado ungekuwa na hisia za kumpenda? Ungepingana na hisia zako?
mimi ile kumuona tu....ningehama mtaa....au hata huo mji.....khaa!
Ha ha ha yaani hata nafasi ya kumuona nisingekuwa nayo