palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
hao wote wamepibwa bikira. udhalilishaji wa ajabu wamefanyiwa. indonesia hauwi askari hadi wamekupima umwanawali physically, wanasema kama haukuwa mwaminifu kutunza bikira yako hauwezi kuwa mwaminifu jeshini. juzi kuna wanaharakati wameanza kupambana na dhana hiyo na serikali imewajibu hivyo. hao wote wamepimwa hapo. pamoja na kwamba ni bikira za mbele tu ndio wanazopimwa.Hawa ni askari wa jeshi la indonesia
hao wote wamepibwa bikira. udhalilishaji wa ajabu wamefanyiwa. indonesia hauwi askari hadi wamekupima umwanawali physically, wanasema kama haukuwa mwaminifu kutunza bikira yako hauwezi kuwa mwaminifu jeshini. juzi kuna wanaharakati wameanza kupambana na dhana hiyo na serikali imewajibu hivyo. hao wote wamepimwa hapo. pamoja na kwamba ni bikira za mbele tu ndio wanazopimwa.
Halafu uwateke kombania nzima!Tuombe nao vita ya kirafiki tu, yaani!!!!