Kweli Wakenya wana pesa, wazidi kutalii Tanzania

Kumbe hata hawa kwenu mnawahesabu kwamba ni watalii?, ndio sababu inaonyesha Kenya hupokea watalii wengi lakini kwa mapato Tanzania inapata Mara mbili zaidi ya Kenya. Tanzania hawa hawawekwi katika kundi la watalii, hawa tunaweka katika kundi la" hustlers", wanatafuta wanaume wa watanzania ili wapate uraia wa Bongo.
 
Hivi kwanini Dar huwa mnazunguka tu kwenye hayo majengo matatu, yaani zaidi ya hapo Dar umeimaliza, mnafaa mjenge mji usambae maghorofa kote, sio eneo moja tu unapiga piga mapicha kwenye pembe/angle tofauti. Yaani hiyo Dar inafaa ishindane na eneo moja la Nairobi, kama vile Westlands ndiko kuna majengo machache marefu ambayo unaweza kucheza cheza na mapicha kama mnavyofanya Dar.

Majengo yanafaa yazagae hivi, hebu cheki Nairobi mjini kati, na hapa bado sijahusisha KICC na kwengine kati, ni vigumu kupiga picha moja ya Nairobi CBD kama mnavyofanya Dar.

nairobi-county.jpeg
 
Majengo yanafaa yazagae hivi, hebu cheki Nairobi mjini kati

nairobi-county.jpeg
Kwanza hao ni wakenya harafu kuhusu majengo dar kunakitu huwa amjui Tanzania kuna majengo mengi sana ya gorofa yenge gorofa15 hadi 20 Mara nyingi nyinyi mnapost picha za magorofa mafupi ya 15 kuja chini hata ukicheki hiyo picha magorofa ni under20 floor

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Wewe na akina nani..
Kumbe hata hawa kwenu mnawahesabu kwamba ni watalii?, ndio sababu inaonyesha Kenya hupokea watalii wengi lakini kwa mapato Tanzania inapata Mara mbili zaidi ya Kenya. Tanzania hawa hawawekwi katika kundi la watalii, hawa tunaweka katika kundi la" hustlers", wanatafuta wanaume wa watanzania ili wapate uraia wa Bongo.
 
Kumbe hata hawa kwenu mnawahesabu kwamba ni watalii?, ndio sababu inaonyesha Kenya hupokea watalii wengi lakini kwa mapato Tanzania inapata Mara mbili zaidi ya Kenya. Tanzania hawa hawawekwi katika kundi la watalii, hawa tunaweka katika kundi la" hustlers", wanatafuta wanaume wa watanzania ili wapate uraia wa Bongo.
Mimi ni mtanzania nilikuwa nawavuta wakenya kwenye huu Uzi laa siyo wasinge kuja wamekata tamaa ya maisha huu Uzi unaonyesha jinsi wakenya wanavyo penda Tanzania nchi ya asali na maziwa kila siku hapa jf huwa wanasema wakija bongo watatuonyesha jinsi mji ulivyo mbovu kuliko kwao ila wakija wanaishia kusifia tu

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwanini Dar huwa mnazunguka tu kwenye hayo majengo matatu, yaani zaidi ya hapo Dar umeimaliza, mnafaa mjenge mji usambae maghorofa kote, sio eneo moja tu unapiga piga mapicha kwenye pembe/angle tofauti. Yaani hiyo Dar inafaa ishindane na eneo moja la Nairobi, kama vile Westlands ndiko kuna majengo machache marefu ambayo unaweza kucheza cheza na mapicha kama mnavyofanya Dar.

Majengo yanafaa yazagae hivi, hebu cheki Nairobi mjini kati, na hapa bado sijahusisha KICC na kwengine kati, ni vigumu kupiga picha moja ya Nairobi CBD kama mnavyofanya Dar.

nairobi-county.jpeg

Ok CBD kwa CBD, Hebu fananisha ulichokituma na hii Dar,
Ni wazi Nairobi ni Nzee, Haivutiii majengo mafupi ya Mkoloni, toka amejenga mkoloni nyie mmefanikowa kuongeza uwezo wa kuiba . Nairobi haina Mvuto, Naijui vema Hiyo westlands unayosema iko sawa na Nusu ya Kariakoo, achana na Kijitonyama, Mlimani, Ilala au Upanga, unajitoa ufahamu japo unajua ukweli ni Kuwa Dar ni Sawa na Nairobi+ Mombasa+ Nakuru + Kisumu.

IMG_0246.JPG
IMG_5569.JPG
IMG_5890.JPG
 
View attachment 1255282View attachment 1255284View attachment 1255290

Hadi nimecheka hapa kwa sauti, yaani hizo ghorofa tatu ndio umezizunguka kama nilivyosema, huwa mnazipiga picha kwenye angle tofauti tofauti, huko kwengine ni kiwango cha apartments ambazo kwetu hapa zipo nje ya mjini.
 
Mabingwa wa propaganda EA.Tanzania oyee.
 
Back
Top Bottom