Kweli uvivu kipaji

Kweli uvivu kipaji

Dr.kapama

Senior Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
180
Reaction score
34
Mtoto anamuomba baba yake,naomba hiyo glass hapo juu,baba akajibu sitaki njoo mwenyewe
mtoto;si unichukulie mara moja tu,baba akajibu ntakuja kukuchapa emb njoo mwenyewe,mtoto akajibu basi ukija kunchapa uje na glass.....
 
hahahaaaa, hii nayo kali..
 
ah haaa haaaa haaaa haaaa...................duuuuh dingi nae hazimo
 
Mtoto anamuomba baba yake,naomba hiyo glass hapo juu,baba akajibu sitaki njoo mwenyewe
mtoto;si unichukulie mara moja tu,baba akajibu ntakuja kukuchapa emb njoo mwenyewe,mtoto akajibu basi ukija kunchapa uje na glass.....

hilo litoto halina akili
 
Mtoto anamuomba baba yake,naomba hiyo glass hapo juu,baba akajibu sitaki njoo mwenyewe
mtoto;si unichukulie mara moja tu,baba akajibu ntakuja kukuchapa emb njoo mwenyewe,mtoto akajibu basi ukija kunchapa uje na glass.....
aisee hii imesima.....:lol::lol::lol:😛oa😛oa
 
Asante sana mkali umetishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! jokes of the week
 
Mtoto anamuomba baba yake,naomba hiyo glass hapo juu,baba akajibu sitaki njoo mwenyewe
mtoto;si unichukulie mara moja tu,baba akajibu ntakuja kukuchapa emb njoo mwenyewe,mtoto akajibu basi ukija kunchapa uje na glass.....

Hahahaaa, wote hao hazimo.
 
kweli uvivu ni kipaji, nina marafiki zangu enzi hizo wanaishi gheto moja panya alifia ndani. Kila siku wakirudi jioni wanapanga kesho asubuhi waamke mapema ili wautupe mzoga lakini ikifika asubuhi kila moja anawahi kazini. Panya alioza akanuka mpaka harufu ikaisha.
 
Khaaa !
 
Back
Top Bottom