MPENDA USAWA
Senior Member
- Oct 15, 2012
- 169
- 30
Daaaah!
kweli nimeamini utu uzima haupigi hodi unajikuta tuu matendo yanabadilika na unaanza kubehave kama mtu mzima...
Ni juzi juzi tuu mara mama kakutumia ki 50 tigopesa baba anakuuliza hali yako ikoje....
Huku makaka na madada ukipiga kiboom tuu kimetick ila leo hii hali imebadilika kbs baada ya iko kichuo kuisha na ukajua jinsi ya kuitafuta ridhiki huku mchumba umshamtambulisha nyumbani.....daaah kweli maisha yanaenda nshakuwa mtu mzima nw!nikichanga karata vibaya tuu finally uzeeeni!
Nawasilisha
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums