kweli TZ shamba la bibi..mmemsikia DJ wa rick ross

Donpela

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
2,040
591
Nasikiliza hapa redio ya wafu,,
Daaah uyu dj wa uyu msanii anaojiwa kasema kaambiwa akija apa lazma arudi na tanzanite rock..
Hehehe njoo ujichimbie,,ni wewe tu na kijiko chako
 
Asilimia 90 ya wakazi wa mererani hawajawai kuona tanzanite.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hahahaha
Dah mkuu,sasa wanafanya nini migodini ka sio kula vumbi..-dah sorry watumiao morogoro roaa na bagamoyo road - I meant kula udongo
 
Atapewa zawadi tu sio jiwe hata akitaka mgodi,serikali wana jibu maombi ya "wawekezaji wa nje"wakimemo wazungu wakisema tu naomba mgodi wanapewa faster wakaazi watahamishwa kwa mabomu
 
hilo mbona dogo,dhaifu yuko canada hivi mwajua ametoa nn huko?
 
kwel bana mie mwenyewe siishi mereran ila nimewahi kuiona kuishika na kumtunzia mtu tanzanite zake when i was 13 years old
 
Back
Top Bottom