Kweli sisi wanaume tu wivu uliojaa sumu

Kweli sisi wanaume tu wivu uliojaa sumu

Victor 20

Senior Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
146
Reaction score
15
jamaa kachukua no ya simu ya mkewe ambaye ni rafiki yangu au dada wa hiari,akajifanya mwanamke akajitongozesha kwangu
 
kaconclude me natembea na mkewe wote 2 sijawahi kukutana nao na mkewe sijawahi kumtongoza wala kumtumia sms ya mapenzi
 
kabla sijajua kama ana uhusiano na dada ya huyu nilimwambia aache ufara baada ya kugundua ni mwanaume amejifanya mwanamk
 
namaanisha amejifanya mwanamke na kujitongozesha kwangu, ndipo rafiki yang alinipigia simu akaniambia ni mme wake
 
nikajishusha nakumwomba radhi jamaa kamaindi anaenda kunifungia line zang na kesho ananitafuta mpaka anipate
 
nikajishusha nakumwomba radhi jamaa kamaindi anaenda kunifungia line zang na kesho ananitafuta mpaka anipate kwa kutumia
 
atatumia polisi na mitandao yaani usajili wa line zang ili anipate me namsubir tu anikamate hapa home maana hamna jinsi
 
Haaaaaaa!!! Yani kakufanyia hivyo!!!? Jamani, sasa umeamuaje?
 
akinidaka nitaomba twende ruvu jkt nikapigwe virungu na military polisi sababu nimemaliza mafunzo pale mwezi wa 1
 
Hapa kunaendelea nini wajameni...??
 
Mike, yani huyo raia anakusumbua namna hiyo

Sifa ushirikiano omba msaada makamanda tutakuja kukusaidia
 
jamaa kachukua no ya simu ya mkewe ambaye ni rafiki yangu au dada wa hiari,akajifanya mwanamke akajitongozesha kwangu

enheee ulimkubali?? maana hapo ni dume limetongoza dume lenzie, sasa kasheshe nani atampanda mwenzie. aliyetongoza au aliyetongozwa.
 
kila sms aliyokuwa anatuma alikuwa anaeka baby alaf aliniambia ana miaka 20 jina lake eti christina mweupe si mnene
 
nikasema atakuwa mkali na kwakua kila sms alioituma aliweka baby nikaona ataniona mwanaume ----- na me nikawa naziweka
 
Back
Top Bottom