Hizi picha za jamii photos leo!Mmeambiana au vipi?
Huyo hata mtungo anakubali kweupeKiufundi zaidi au sio
Amekosa mshipa wa aibu na kwa anavyoonekana ameshazoea hiyo michezoTena anaweza kusema na kunku
Nashukuru kama mbavu hazijapata mchubukoImenibidi nicheke tu mkuu baada ya kusoma hii kitu.
kidogo au kikubwa,kibaya au kizuri,kinamfaa au hakimfai?Duu hiki cheo ulichopewa ....!!!
mtu ambaye ana laana utajua tu . kwani huwezi fanya hivyo kwenye uwepo wa watu tena mchana kweupeeee kama ww ni mzima aiseeeee