UrbanGentleman JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 2,584 Reaction score 1,886 Nov 18, 2016 #1 Huyu mwanamama alimkuta huyu mtoto akiwa ametelekezwa, akajitolea kumchukua na kurudi nae kwao akamlee na kuamua kuita HOPE, ona alivyo pendeza Njaa sio nzuri haimpendezi mtu ata kidogo, huwezi amini huyo ni mtoto mmoja.
Huyu mwanamama alimkuta huyu mtoto akiwa ametelekezwa, akajitolea kumchukua na kurudi nae kwao akamlee na kuamua kuita HOPE, ona alivyo pendeza Njaa sio nzuri haimpendezi mtu ata kidogo, huwezi amini huyo ni mtoto mmoja.
M mchepuko JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,192 Reaction score 1,419 Nov 18, 2016 #2 awwwwwwwwwwwww
UrbanGentleman JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 2,584 Reaction score 1,886 Nov 18, 2016 Thread starter #3 MNANSO said: SIO HUYO, HAO WATOTO NI WATU WAWILI TOFAUTI Click to expand... See nilibisha kama wewe hahaha
MNANSO said: SIO HUYO, HAO WATOTO NI WATU WAWILI TOFAUTI Click to expand... See nilibisha kama wewe hahaha
UrbanGentleman JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 2,584 Reaction score 1,886 Nov 18, 2016 Thread starter #4 MNANSO said: KUNA SIKU HUMU JF WALILETA PICHA ZA MTOTO BAADA YA KUCHUKULIWA.ALIKUA MNENE ZAIDI YA HUYO ALIYEBEBWA NA HUYO MZUNGU Click to expand... Sawa nimekupata huyo hapo
MNANSO said: KUNA SIKU HUMU JF WALILETA PICHA ZA MTOTO BAADA YA KUCHUKULIWA.ALIKUA MNENE ZAIDI YA HUYO ALIYEBEBWA NA HUYO MZUNGU Click to expand... Sawa nimekupata huyo hapo
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,574 Reaction score 12,318 Nov 18, 2016 #5 Shida mbaya sana asikuambie mtu
ShyaRuwa JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 8,525 Reaction score 15,559 Nov 18, 2016 #6 Watoto wanaopitia maisha ya hivyo wengi wanakuja kuwa ma-Icons kwenye jamii zao....Hata huyo tumtakie kila la kheri.
Watoto wanaopitia maisha ya hivyo wengi wanakuja kuwa ma-Icons kwenye jamii zao....Hata huyo tumtakie kila la kheri.
robert sendabishaka JF-Expert Member Joined Dec 11, 2015 Posts 3,144 Reaction score 3,338 Nov 19, 2016 #7 kama nilivyo mimi, ila bahati yangu mama yupo
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Nov 20, 2016 #8 Picha zinatia sana simanzi
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,784 Reaction score 123,803 Nov 20, 2016 #9 Na vipi kuhusu wale watoto ambao "Wazungu" wenzake wanawaua kwa kuwapiga mabomu huko Libya,Syria,Afghanistan,Palestina,Iraq na kwingineko?
Na vipi kuhusu wale watoto ambao "Wazungu" wenzake wanawaua kwa kuwapiga mabomu huko Libya,Syria,Afghanistan,Palestina,Iraq na kwingineko?