Kweli Shibuda ni kero

Bwana She-Buda ni ovyo kabisa, atavuna alichopanda. Maana nina imani ataona aibu kurudi sisiemu.... sina hakika ataenda chama gani. Pia kwa leo katika mkutano wamefanya hekima sana kutomgusia, maana angepata umaarufu sana. Kukaa kimya bado anajiona ni mpumbavu mno.

RAFIKI, mijitu sampuli ya Shibuda haikuzaliwa na mishipa ya aibu. Nina hakika na jambo moja, HANA FUTURE. Huyu hatakumbukwa ktk historia ijayo kwa vile alisimama na kushiriki kusaidia adui za Tz.
 
CDM nimewakubali! Walivyompotezea jamaa wala usiombe. Pamoja na chokochoko zake hakuna anayemjali yaani imekuwa kama hajafanya lolote. Hii inanikumbusha Mjita m1 tulifanya naye kazi akawa mchonganishi ile mbaya. Mgt tulipomgundua tukampotezea akawa mtu wa bench hakuna promo yoyote kwake. Tukawa radhi kuwapromo hata madereva kuliko yeye! Mbona almanusura awehuke mpaka alipokimbia mwenyewe! Sasa na huyu Buda walivyomwacha mpaka atajinyea na mwisho wa siku 2015 tunasimamisha mwingine pale Maswa Magh.
 
watu wanasema shibuda, shibuda shibuka, kwani ana uwezo gani historically. Just being an MP, can make him appear on the front pages of newspapers?. He is just a nonsence guy, who tries to make himself populist. Ana mchango gani kwenye debates za bunge, kwenye mambo ya kitaifa?
 
acha kuwapa promo wateja wa mirembe na wewe........... au mko wodi moja?
 
Ni misheni town mmoja, mjanja mjanja wa mjini, msukuma anayeiga kiswahili cha zanzibar.
eti hao ndio waliomlea wa zenji!lol
 
na wewe! atakuwa tu ndugu yako unampaisha. umeona kisha sahaulika unaleta za kuleta!

kama upo hapa jf si inamana ulizisoma threads zake za u low thinka wake?
 
Kilichonifanya nifungue hii thread siyo kwa sababu ya pole!
Kilichonifanya nifungue haraka hii thread ni hiyo ID yako (KIBAKA).
 
Kaeni chonjo na wana ccm wote wanao hamia chadema mkadhani mmepata wote ni wakina shibuda,

Huo ni uoga, mimi nadhani kila sehemu kuna taratibu na kanuni zinazowaongoza hivyo wakienda kinyume na maadili ya chama watachukuliwa hatua za kinidhamu.

Mbona hata huku CCM nako kuna watu kama akina Shibuda nao wametoka wapi?
 
Hueleweki mleta mada, sasa hapa wa kumshangaa ni nani kama wewe siyo wa kukushangaa!! hutaki mtu adraw attention zetu lakini wewe huyo huyo ndio unampa coverage tumjadili hapa!! sikuelewi ndugu.
 
Inaonekana Chadema mnamuogopa Shibuda, vinginevyo sioni kwa nini kila mnajidai mnampuuza lakini hamuachi kumwongelea. Kama kweli Shibuda si kitu mbona hata alifanya utan tu mnatetemeka,
 
Back
Top Bottom