Kweli shetani anamakusudi sana

Unakutana naye leo ,unamla kesho?

Nmepanda gari makumbusho, nmesimama na dem mmoja mweupeeee peeeee ,lips dendaa ( lips za Angelina Jolie ) sura nzuriiii, makaliooo, guuuu , nikamchokoza 'Ulivyopendeza namna hii lazima tushuke wote, nikununulie zawadi"

Kweli nilishuka naye, tukaingia duka la nguo, nikamnunulia chupi mbili

Nikamtania twende uzijaribie kwangu.


Akakubali.


Tulivyofika nikampa kinywaji.


Akiwa anakunywa, nikamwambia ngoja nijimwagia maji.


Nikamaliza akawa bado anakunywa tu.

Nikampigisha stori na utaniutani , nikala mate ametuliaaa. nikamwambia kajipime chupi,

Akaingia room, nikamfata Tuligongana kuanzia saa tano mpaka saa 11.


Akakurupuka alaaaaa, Umenilaje kirahisi ivi?? Mume wangu leo atajua ,uwiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Huwez amin ,tulikulana bila hata kujuana majina, bila kupeana namba za simu[emoji23][emoji23]


Tulikuja rudia game, kma mara nne ivi, Demu akafunga ndoa Takatifuuu ( awali walikua wanaishi bila ndoa) ..siku hizi ni mwanangu tu wa mastori.
 
Peleka hii kule kwenye kulana kimasihara, kama sio chai basi huyo demu ndio ka engineer mchezo mzima japo we uliona kama unam_ seduce kumbe nae alikua kazini.
 
Nimewahi kuwa na situation kama yako. Kila nikitaka kuchepuka, Roho inasita. Huyu mwanamke nashindwa hata kumwelezea. Ukisoma matatizo ya watu humu unaona kabisa au kusikia visa vya wanawake, Unaona kabisa una bahati.
Niliwahi panga kwenda kugegeda msambwanda mmoja hivi Kimara... Asubuhi kanipigia simu katika maongezi akasema jana Usiku nimefanya dua ya kukuombea mambo yako yafanikiwe!
Bwana weeh.. Niliahirisha kula mzigo. Kama mwanaume sometimes nataka kuchepuka ila nikimkumbuka Mke wangu na wema wake, Nakosa nguvu. Mama S wewe ni mwanamke na nusu 🙏🙏🙏
 
Ushauri wangu ni kuwa, Sio rahisi kama mwanaume kutotamani vya nje. Jitahidi kuweka mazingira ya wewe kutotoka. Shiriki na mwenza wako tendo kupunguza akili ya kuchepuka hususan siku zenye mitihani kama weekend. Chini pakisimama ubongo una cease.

Wekeza akili yako kwa mkeo zaidi. Futa namba za michepuko (hii ngumu lakini jilipuwe kwa ajili ya afya ya ndoa yako)

Epuka Sana kuomba namba, Ukianza kuona dalili za kutoka namba direct mawazo kwingineko na usepe faster! Bora ukajute mbele kukosa namba kuliko kuja muumiza mtu unayempenda kwa tamaa zako.

Ukifeli kabisa, OA mke wa pili.
 
Natamani nimjue mwalim wako wa kiswahili darasa la 3,alishindwaje kukufundisha matumizi ya alama za uandishi?Namlaum sana tena sana.
Ukisema uzingatie uandishi, basi hata wewe una makosa ya uandishi.kwanza hiyo tatu ilitakiwa ikae kwenye mabano, kama ulishindwa kuandika kwa maneno.

Pili hapo mwishoni baada ya alama ya kuuliza, ulipaswa uruke nafasi kwanza kisha uendelee na maneno mengine.

Hivyo tusiwakosoe kwa kejeli, bali kwa lugha nzuri ikiwa ni sambamba na kurekebishana.
 

Nimekuelewa vizur
 
Kweli kabisa bro.
 
Hio Hali inawakuta wengi,badilisha line ya simu,achana na hao maduu uitafute ladha ya ndoa
 
Ukiwa na mwanamke ambaye unaona atakuwa mke hayo mambo lazima.

Ila ukiwa upo upo hata kumpata mwanamke mmoja ni tabu.
 
Chai
 
Hivi mtu mwenye 40s anaweza kuwa hivi?,hapana.Mwenye 30s je,hapana,na mwenye 20s.Ndio.Utoto raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…